Vyuo hivi vina nafasi za masomo

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,874
1,894
Nafurahi kuwajulisheni nyote kwamba kuna vyuo kumi vimefunguliwa maeneo mbalimbali nchini, vikitoa kozi mbalimbali na kubeba majina ya watu maarufu kama ifuatavyo:


* Benjamin Mkapa Institute of Political Entrepreneurship and Openness
* David Balali School of Central Banking and Foreign Debt Management
* Andrew Chenge College of Applied Contractual Law
* Ali Hassan Mwinyi University of Inflation Control
* Karamagi Institute of Mining Licensing and Administration of Mining Contracts
* Zakia Meghji college of Tourism and Protection of Public Funds and Natural Resources
* Ditopile Mzuzuri School of Conveyance and Welfare of Public Drivers
* Mwalimu Nyerere University College of Privatization
* Mkono Intitute of Legal Fraud Prevention
* Lowassa School of Prevention of Fake CompaniesFomu za Kujiunga zinapatikana Bank M.

Nyote Mnakaribishwa.
 
Nafurahi kuwajulisheni nyote kwamba kuna vyuo kumi vimefunguliwa maeneo mbalimbali nchini.....
Kamanda,
Kulikuwa na haja gani kukopi bandiko hili ambalo tayali limeshabandikwa huko kwenye sehemu husika na kulileta hapa?
 
Kamanda,
Kulikuwa na haja gani kukopi bandiko hili ambalo tayali limeshabandikwa huko kwenye sehemu husika na kulileta hapa?

Haja iliyo kuwepo Kamanda ni kama ile ya siku zote kwamba people do bring copied things toka sehemu zingine za habari nk kuzileta for us all .So we call this way Mutatisi mutandisi
 
lu(lo) nyungu taratibu basi humu humu anacopi na kupaste?

halafu mambo haya ni ya forums ya siasa kweli? wewe mkuu mwenzangu unaheshimika jitahidi kutopoteza heshima yako
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom