Vyuo binafsi kutangaza nafasi za kazi kila kukicha

obwanga

Member
Sep 4, 2015
93
42
Kuna chuo kimoja MAARUFU cha afya kipo maeneo ya kimara,kila mwezi kinatangaza NAFASI za kazi kwenye tv ususan star Tv kwa ajili ya wakufunzi najiuliza watu huwa hawaaply?

Nimeona leo niulize kwasababu nitaasisi gani inatangaza kazi kila mwezi maanake waliopo wanaenda wap?
Na sio kwamba inaweza kuajiri zaidi ya wakufunzi zaid ya 20.
Lazima kuna tatizo ,mkumbuke kuna watu wanatabia ya kuwa na wafanyi kazi kwa mda mfupi ili wasiwape mikataba kwa ajili ya maslahi lakini kwa taasisi ya elimu ya afya kama kile kinaitaji waalimu wa mda mrefu ili kutoa elimu bora .
Rahi yangu kwa vyombo usika hivi vyuo vya afya viangaliwe .sio kwenda ofisini kuona documents alaf mnajiridhisha kwamba mambo sawa..

Elimu ya recruitment and retention ni muhimu sana kwa wajasiamali watu wakibongo.unakuta mtu basi tu kwasababu anaviela anakuwa bosi,lakini hana elimu ya kuongoza watu wasomi k.m madaktari,wauguzi,famasia hana.

Niliwahi kupewa nyepesi na wanachuo wa chuoni hapo kwamba sometime wanakosa waalimu hadi inabidi director awape mtihani wanafunzi ijumaa iliwakusanye jumatatu ndo iwe CAT1&2. Wanakuwa hawajafundishwa lakini mayokeo yanaitajika( HUO NI MFANO TU)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom