Vyuo anzeni kutoa course za cashless dunia inaenda kuondoka kwenye matumizi ya hela taslimu , debit na credit card kwenda kwenye digital money

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,911
51,889
Vyuo anzeni course za cashless dunia iko mbioni kuondokana na matumizi ya pesa cash .debit card na credit card kwenda kwenye digital money,anzeni kufunza ili ikianza wataalamu wawepo tayari tusianze kuajiri watu toka nje,Ni fursa inakuja vitu kama hivi anzeni kuviweka kwenye mitaala yenu
  • Overview of cashless transaction.
  • Benefits of cashless transaction.
  • Security Check (https)
  • Phishing
  • Safety Measure
  • Net Banking facility
  • IMPS ,RTGS ,NEFT, USSD, NUUP, UIDAI
  • Online payment link and Gateway
  • Apps install & uninstall, iPhone, Android & Windows Phonwe
  • E-Commerce Payment
  • Mobile Wallets & E-Bill payments, E-ticketing, E-Reservations
  • Payment gateways
  • POS Machine and Card Punching
  • Grofer,Amazon,Flipkart,Ola,Uber etc.
  • Unified Payment Interface (UPI)
  • Concepts of SEO, Google Local & Map Listing, Online Ads, Facebook & Social media marketing
Wataalamu wa mambo ya fedha pia jiandaeni utaalamu huo wa mambo ya digital money ,sweden,rwanda na nchi kadhaa nk tayari wako mbioni kuingia mfumo huo wa cashless karibuni .Anzeni kufunza mbio
 
Ukweli kabisa
 
Mkuu sioni ulazima/haja ya kuanzisha kozi mpya Kozi hizo hizo zinazohusiana na mambo ya fedha wanaweza ku update mitahala ili kuendana na soko
 
Mkuu sioni ulazima/haja ya kuanzisha kozi mpya Kozi hizo hizo zinazohusiana na mambo ya fedha wanaweza ku update mitahala ili kuendana na soko
vyovyote ila wajue hilo tayari lipo wasije jikuta wana irrevant sylabus
 
Mkuu sioni ulazima/haja ya kuanzisha kozi mpya Kozi hizo hizo zinazohusiana na mambo ya fedha wanaweza ku update mitahala ili kuendana na soko

Hii ni kwa walio maliza wanaweza kufundishwa na isiwe kama semina iwe course kabisa na mitihani wafanye tena ya vitendo zaidi wa feli sana warudie sana mpaka wafaulu . Kwa wanaokuja sasa ndio nao wafundishwe hivyo hivyo.
 
Ni kweli hapo cha kuanza nacho hapo nikupeleka wataalamu/wahadhiri wetu kuongeza elimu juu ya hiyo elimu
Si walimu tu na watu binafsi ni kuingia msituni kuyajua hayo mambo kwa ajili ya kuwa consultants,wataalamu wa mifumo nk tenda zikija chap chap unaingia kazini iwe serikalini au sekta binafsi
 
WASIMAMIZI WA SEKTA YA FEDHA PIA WAANDAE SERA, KANUNI NA MIFUMO YA KUSIMAMIA DIGITAL CURRENCIES.
 
WASIMAMIZI WA SEKTA YA FEDHA PIA WAANDAE SERA, KANUNI NA MIFUMO YA KUSIMAMIA DIGITAL CURRENCIES.
ni kweli wanatakiwa wawahi ku train wataalamu wao wasijeshtukia bodaboda ya digital money hii hapa na hawajui waanzie wapi
 
Hauhitaji course ili uweze kutumia cashless, kwani kuna course ya kununua vocha kwa mpesa? au kulipa bili kwa nmb mobile? Hizo zote ni cashless services na ni nyingi mno hapa nyumbani. Mahitaji yataisukima jamii huko kataka muda muafaka.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom