Vyuo 10 bora kwa mwaka 2019 hapa Tanzania

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
21,286
46,686
Hii ni kwa mujibu wa mtandao wa Webo Metrics. Hivi ndio vyuo 10 bora hapa Tanzania kwa mwaka 2019. Mtazamo wako ni upi? Je unawaunga mkono au unawapinga?

===


Chanzo: Webo Metrics
 
Hiyo report imethibitishwa na kitengo gani au baraza gani? Au ndio zile taasisi za mtaani zinazotafuta kick kwa nguvu
 
Hivi bado wanapokea application za Post Graduate?
Muda si mrefu OUT itapanda juu hapo. Mwaka huu wamepata intake zina watu wengi sana. Yaani mwaka huu idadi ya undergraduate kwa OUT imefika 33,000. Na non degree program wamefika 13,000.
 
Back
Top Bottom