Vyumba vya wanafunzi vya kupanga karibu na maeneo ya UDSM

Wanafunzi wa DUCE CFR TIA
Karibuni
Chumba kipo( Double) sebule na chumba
Eneo Keko Machungwa, karibu na dealers
Bei.50 000/=
Pesa ya dalali 50 000/=
Kulipia miezi 6.

Chumba ni kizuri karibu na barbara kubwa

Huduma za mahitaji ya chumba ziko karibu

Pamoja na huduma zote.
 
Soma taarifa vizuri, follow instructions. Umesoma sheria? Unaijua sheria inaitwa Law of Agency? Doctrine yake unaijua inafanyaje kazi? Ndiyo maana huwa mnafeli mitihani. Please follow instructions!
😲 so tuache kusoma engineering wote tusome Sheria ?!
 
😲 so tuache kusoma engineering wote tusome Sheria ?!
Soma chochote unachopenda kusoma isipokuwa inapotokea umekutana na swali lenye maelekezo fulani, fuata maelekezo yake iwapo tu utaona kuwa ni busara kulijibu swali hilo
 
Back
Top Bottom