Borderlandz
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 548
- 729
Kuna jamaa anatafuta chumba cha kuishi Dodoma kama kuna mtu mwenye taarifa zozote kuhusiana na vyumba maeneo haya msaada please!
kibaigwaHata mimi pia natafuta eneo lolote zur lakin kiwe cha elf ishirin
Dodoma mjini mkuu maeneo kama kikuyu, makole, uzunguniAnataka eneo gani?
Check na huyu kwa chumba maeneo ya uzunguni 0754759780Kuna jamaa anatafuta chumba cha kuishi Dodoma kama kuna mtu mwenye taarifa zozote kuhusiana na vyumba maeneo haya msaada please!