Ifike mahali wenye nyumba tuanzishe chombo cha kutetea maslahi yetu. Imagine gharama za kujenga zilivyo halafu mtu anataka umkabidhi nyumba ya milioni zaidi ya 15 aishi humo awe anakupa laki kwa mwezi wakati mmiliki wa bajaj ya milioni 8 anakunja zaidi ya 600,000 kwa mwezi

Na nyie ni wasumbufu pia fanyeni mchakato nipo seriousNa pamoja na kodi hailipi. Bado mpangaji anasumbua kulipa kodi. Mpaka mshikane mashati. Kodi longo longo tupu
mkuu na wewe nunua bajaji uanze kukunja zaidi ya 600,000 kwa mweziIfike mahali wenye nyumba tuanzishe chombo cha kutetea maslahi yetu. Imagine gharama za kujenga zilivyo halafu mtu anataka umkabidhi nyumba ya milioni zaidi ya 15 aishi humo awe anakupa laki kwa mwezi wakati mmiliki wa bajaj ya milioni 8 anakunja zaidi ya 600,000 kwa mwezi
Mpangaji ana masharti kibao, anataka gari kwa hela ya baiskeli..Ifike mahali wenye nyumba tuanzishe chombo cha kutetea maslahi yetu. Imagine gharama za kujenga zilivyo halafu mtu anataka umkabidhi nyumba ya milioni zaidi ya 15 aishi humo awe anakupa laki kwa mwezi wakati mmiliki wa bajaj ya milioni 8 anakunja zaidi ya 600,000 kwa mwezi
Ifike mahali wenye nyumba tuanzishe chombo cha kutetea maslahi yetu. Imagine gharama za kujenga zilivyo halafu mtu anataka umkabidhi nyumba ya milioni zaidi ya 15 aishi humo awe anakupa laki kwa mwezi wakati mmiliki wa bajaj ya milioni 8 anakunja zaidi ya 600,000 kwa mwezi
Hizi biashara mbili tofauti kabisaIfike mahali wenye nyumba tuanzishe chombo cha kutetea maslahi yetu. Imagine gharama za kujenga zilivyo halafu mtu anataka umkabidhi nyumba ya milioni zaidi ya 15 aishi humo awe anakupa laki kwa mwezi wakati mmiliki wa bajaj ya milioni 8 anakunja zaidi ya 600,000 kwa mwezi