Vyumba viwili na sebule vinapangishwa Sinza 200,000/=

mwipande

Member
Jun 13, 2014
57
13
Vyumba viwili na sebule choo cha nje,haina jiko.Ipo Parestina nyuma ya mwika bar ni nyumba ya pili toka barabarani.Kodi ni 200000 ilipwe kwa miezi 4 anarudishiwa mpangaji kodi yke amehamishiwa mkoa,baada y hapo unaendelea kulipa miezi sita sita.Kwa mawasiliano inbox kwa sasa cna picha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom