Vyumba vimejaa........

Status
Not open for further replies.

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,433
12,282
Kila "guest" ninayo enda hapa dar naambiwa vyumba vimejaa najiuliza kwa nini iwe leo tu tena siku ya "xmass".....???
 
wanafki hawakosekanagi angalia mambo yako bwana ya watu hayakuhusu nyumba moja kati ya nyumba ulizopita nipo na mkeo
 
Ushauri wangu kwa mabrother na ma sons chezeni salama. Usitumie ile ya kuongeza nguvu. Merry xmass
 
haya mkuu hebu tuambie dar es salaam ina guest houses ngapi!?
 
lizinzi likubwa ww na ww ulikuwa unataka chumba cha nn? umeshindwa kukaa nyumban ukatulia zinzi ww
 
Ushauri wangu kwa mabrother na ma sons chezeni salama. Usitumie ile ya kuongeza nguvu. Merry xmass

watu wa mjini wengi wetu tunakula vyakula vibovu ndio maana nguvu zinakuwa -1.tafuteni dawa za kuharisha kisha muanze kula matunda,unga usiokobolewa na kula samaki wabichi kisha mtasema wenyewe ila nyama nyekundu msipende kula ikiwezekana acha kabisa
 
Ushauri wangu kwa mabrother na ma sons chezeni salama. Usitumie ile ya kuongeza nguvu. Merry xmass

5star ost.jpg
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom