Vyumba self vyenye ac, fan, umeme na maji ya dawasco vinapangishwa

DARKMAN

Senior Member
Aug 23, 2012
122
85
vIPO VYUMBA 12, VILIJENGWA KWA AJILI YA LODGE, MWENYE LODGE KAGAIRI KWA SABABU ANAONDOKA KWENDA NJE YA NCHI HIVYO HAWEZI KUISIMAMIA, AMEAMUA KUPANGISHA, VYUMBA VIPO NDANI YA UKUTA NA ENEO NI KUBWA, KUNA SEHEMU YA KUPUMZIKIA AMBAYO ILIJENGWA KWAAJILI YA BAR.

IPO UBUNGO KIBANGU, BARABARA YA MAKOKA
VYUMBA NI VIKUBWA TOSHA KUWEKA KITANDA NA MAKOCHI, 4M x 4.5M
VIPO NDANI YA FENCE NA GETI LA KU SLIDE
ENEO KUBWA LA PARKING
PANA ULINZI
TANKI LA MAJI LA JUU LITA 5,000 NA RESERVE TAKI NI LITA 40,000 UNDERGROUND
UMEME NA MAJI VYOTE VIKO INCLUSIVE KWENYE PANGO, UKISHALIPA PANGO HAULIPI UMEME NA MAJI

PANGO NI LAKI MOJA (100,000) KWA MWEZI
TAR. YA KUANZA KODI NI TRA. 1/1/2012
 
Ni chumba kimoja?

Ee kimoja ila cha kufa mtu, yaani we ulale kwenye ac 24/7, maji ya dawascoa.k.a cool blue 24/7, umeme 24/7, ulinzi 24/7, kideo 24/7 halafu ulipe elfu 15, to hell. hivi vyumba sio saizi yako wewe
 
Mawasiliano
 
Mi nataka chumba na sebure bana hivi vya wale wanao jifunza ubachara.
 
vIPO VYUMBA 12, VILIJENGWA KWA AJILI YA LODGE, MWENYE LODGE KAGAIRI KWA SABABU ANAONDOKA KWENDA NJE YA NCHI HIVYO HAWEZI KUISIMAMIA, AMEAMUA KUPANGISHA, VYUMBA VIPO NDANI YA UKUTA NA ENEO NI KUBWA, KUNA SEHEMU YA KUPUMZIKIA AMBAYO ILIJENGWA KWAAJILI YA BAR.

IPO UBUNGO KIBANGU, BARABARA YA MAKOKA
VYUMBA NI VIKUBWA TOSHA KUWEKA KITANDA NA MAKOCHI, 4M x 4.5M
VIPO NDANI YA FENCE NA GETI LA KU SLIDE
ENEO KUBWA LA PARKING
PANA ULINZI
TANKI LA MAJI LA JUU LITA 5,000 NA RESERVE TAKI NI LITA 40,000 UNDERGROUND
UMEME NA MAJI VYOTE VIKO INCLUSIVE KWENYE PANGO, UKISHALIPA PANGO HAULIPI UMEME NA MAJI

PANGO NI LAKI MOJA (100,000) KWA MWEZI
TAR. YA KUANZA KODI NI TRA. 1/1/2012
DARKMAN kama wewe unafahamu ujasiria mali na kama uwezekano wa kupata watu wa kulala kwanini wewe usikodishe yote na kuendelea kutumika kama lodge? Funguka na angalia kama ukimpa wewe 14.4 million; wewe ukaendesha hiyo bar na guest house kwa mwaka utarudisha pesa yako na faida juu?
 
Last edited by a moderator:
Ee kimoja ila cha kufa mtu, yaani we ulale kwenye ac 24/7, maji ya dawascoa.k.a cool blue 24/7, umeme 24/7, ulinzi 24/7, kideo 24/7 halafu ulipe elfu 15, to hell. hivi vyumba sio saizi yako wewe

DARKMAN,

Mbona Jazba mzee? Mwenzako amekuuliza tu wewe unapaniki.
 
Ee kimoja ila cha kufa mtu, yaani we ulale kwenye ac 24/7, maji ya dawascoa.k.a cool blue 24/7, umeme 24/7, ulinzi 24/7, kideo 24/7 halafu ulipe elfu 15, to hell. hivi vyumba sio saizi yako wewe

Tumia busara japo kidogo, kama hujaelewa lengo la swali ungeuliza lakini sio kihivyo swali moja majibu kibao!!
 
Back
Top Bottom