Vyuma vya achia. Watu watandanza maji mezani zaidi ya lita tatu

Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
16,131
33,449
ulidhani maji gani?
IMG-20171208-WA0019.jpg
 
Si wanasema ukikazana kunywa hayo utakuwa Kama Yule muigizaji maarufu bongo muvi
 
nilifanya mazoezi kipindi cha nyuma hivyo kwa sasa kukaa bar bila bia haisumbui japo mwanzo jamaa hawakunielewa nilipoamua kuacha pombe kutokana na changamoto zilizokuwa zinanikabili. kwa sasa hatuulizani.
kwa ufupi nimepata furaha sana kicheko zaidi watu waliondoka saa tisa usiku
 
hongera mkuu
 
hongera mkuu
asante haikuwa rahisi ila ilibidi kwa kuwa washikaji walianza kunitenga hata kabla sijawaomba offer nikaona isiwe tabu nikaanza kwa kunywa bar tofauti tofauti kisha nyumbani,baada ya hapo nakunywa na mtu ninayemweshimu sana baadaye nikaacha jumla kwa kweli namshukuru MUNGU. ila bar nakwenda na sioni tabu kutoa round japo mimi nitabaki na maji au substitute zingine.
jaribu utaweza
 
Back
Top Bottom