donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,522
Unazipigia mahesabu ni zakoKwa haraka karaka hapo hata million haifiki ila wapo watakaokuja watasema nna wivu wa kike
Nimehesabu kwa haraka haraka ni kama k4 kweli maisha magumu
Huyu Mdau kiboko alikuwa akihongwa tu anakimbizia kwenda kuficha Duuu... Swafi lakini angepeleka benk bank charges zingempunguzia..
Kuvunja kibubu msimu Wa sikuku raha sana ila sio January
HahahahKibubu kimevunjwa...
Mabint wanusaji wanakuja kwa gia za ajabu.
Sadali kasimuMkuu nitajie jirani wako wa karibu
Nyie ndio mnaotafutwa mnaficha mijihelaaa hadi uchumi unadidimia, mnasababisha vyuma vinakaza vyenyewe.
Nyie ndio mnaotafutwa mnaficha mijihelaaa hadi uchumi unadidimia, mnasababisha vyuma vinakaza vyenyewe.