Nikiwa nimejiunga UDSM mwaka huu kwa ajili ya kuongeza Elimu toka nimeingia hapa mtu ukibanwa na haja inabidi ujifikirie mara mbili ama uende porini (Hasa Pori lile la Kuelekea Changanyikeni au ukimbilie Mlimani City, Jana nilibanwa na haja kubwa kila choo ninachokwenda KIMEJAA?KUZIBA nilianza kule COET, kisha nikaja Botany, Maktaba, SRs, Mathematics, Physics vyote veiba/kujaa hivyo huwezi kukitumia. Ninachjiuliza je Uongozi wa Chuo Kikuu ualiona hili? juma ya 15,000 mlionao na hv vyoo kujaa hamuoni ni hatari? mnataka tukajisaidie porini mpaka lini? bora Sisi Wanaume tunaweza kujistiri huko porini zaidi nawaonea huruma kina dada. Na hali zao si rahisi kusthimili seemu yenye tatizo a vyoo.