Chunga sana. Tabia ya kuchungulia madirisha ya watu usiku, utavalishwa Dunlop shingoni na kuberiti chwa!Kiwango cha hofu na woga kwa watu kinapanda kwa kasi sana siku hizi!
Iko haja kamati za ulinzi na usalama kila mtaa kufanya kikao!
Kiwango cha wanaokojoa kwenye mazururu (makopo) kimeongezeka sana! waume kwa wake!
Halafu hata nashindwa kuelewa; Ile chupa ya maji ilivyochongoka mwanamke anajibetua vipi hadi alenge kale katobo mkojo usimwangike nje? hiyo shughuli ya kulenga si bora atoke nje tu!
Kinachoshangaza zaidi ni pale asubuhi unamuona mtu chupa ipo top full, sasa unajiuliza mkojo huo alipima Wa nusu rita au alibania mwingine?
Ukitaka kuyajua haya tembelea watu asubuhi na mapema kabla hawajaamka! uone kila mtu anavyotoka na kopo, tena siku hizi hadi wanaume!
Magheto ya hao watu yananuka mikojo tupu!
Uoga ni Ugonjwa! Uoga ni pepo usiombe kulikalibisha!
hata ikitokea kibaka kaiba watu Wa namna hii wakisikia hawatoki!
Hivi nyumbani kwako kabisa mwanaume/mwanamke unaogopa kutoka kukojoa?
Mtoto anakuamsha akakojoe unampa kopo?
HALAFU POLISI WAKICHELEWA KUKAMATA JAMBAZI KUTWA KULAUMU; wakati nyumbani kwake tu kwenda nje chooni usiku hawezi!
Njia ya kuzuia mimbaMimi huwa najiuliza yaan kabla hujala Mbususu anaomba ruhusa akakojoe ,ukila round ya kwanza anaenda kukojoa ,ukienda round ya pili mkojo huo ....kwanini wanawake mnakojoa Sana wakati tunapokula mbususu
Kabisa mkuu unakuta wamejazana uani wanafua na kuongea umbea wao, bora kujimegea geto umo umo kuliko kutoka kuwapa story na salam zisizo za lazimaSasa kama nyumba hizi za kupanga watu wanaishi msururu wanaogopa kupigana vikumbo huko chooni na wake za watu
Kwenda kumwaga watoto chooniNjia ya kuzuia mimba
Chumba hakinuki mikojo?Mimi mmoja wao
Ila sababu uliyoandika sikweli au ndogo sababu kubwa
1)Uchovu, imagine usingizi ushajaa unataka vuta shuka mkojo unazogoa
2)Hali ya hewa kama mvua, imagine usiku mvua alafu utoke ulowe
Ila chupa naitoa usiku
Ndo ukojoe kwenye ndooUnakaa CHANG'OMBE Dodoma....
Unakaa CHANIKA Dar.......
Halafu utoke nje usiku?!!!
Weeeee 🤣🤣🤣🤣
Wanawake wakisuguliwa vizuri mkojo wa maji unakuja wenyewe. Tena wengine kabla hajakojoa mkojo wa kikubwa anaenda kwanza kukojoa mkojo wa majiMimi huwa najiuliza yaan kabla hujala Mbususu anaomba ruhusa akakojoe ,ukila round ya kwanza anaenda kukojoa ,ukienda round ya pili mkojo huo ....kwanini wanawake mnakojoa Sana wakati tunapokula mbususu
Duu mimi sio mlevi na chupa inapitishaje harufu pia hata kama itakuwa wazi still harufu haitatoka kuna factors za mkojo kunuka.Chumba hakinuki mikojo?
Vyoo vya ndani vimekuwa ndoo siku hizi ?🤣🤣Ndo ukojoe kwenye ndoo
Kwahio unatushauri tujenge choo nje ili kukuonesha sisi sio waoga au?
Makopoooo, makopo!Kiwango cha hofu na woga kwa watu kinapanda kwa kasi sana siku hizi!