Vyombo vyetu vya habari (media) kuzeni soka letu.

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,130
2,000
Wakuu, jana palikuwa na mechi (TPL) kati ya Biashara United na Ndanda FC, kilichonifadhaisha mtazamaji nilikuwa peke yangu katika banda umiza.
Hii imenifanya kuona umuhimu wa 'media' zetu kutumika makusudi kukuza soka letu.
Mfano, wachambuzi wetu hutumia muda mwingi kuchambua timu za England kuliko zetu. Timu ya England ikifunga/fungwa na timu ya nje mfano UCL, watajikita kuichambua muda mrefu timu hiyo.
Mechi ya jana haijachambuliwa kabisa ni kama mvua ya manyunyu.
Labda ni hili waziri husika alisemee kama lile la uwanja wa Taifa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
magagafu

JF-Expert Member
Jan 31, 2016
1,150

Sipati picha uwanjani walikua washabiki wangapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom