Vyombo vya ulinzi na usalama mko wapi katika hili?

ithangaledi

Member
Jun 4, 2011
84
57
Wakuu nimeikuta hii sehemu, hakika Jeshi la wananchi haliwezi kukwepa kadhia hii ya kuajiri tapeli ambaye watu wanahaingaka kumtafuta na wapo kimya.

Jisomeeni wenywewe;

Ni kijana mzaliwa wilaya ya Same kata ya Suji kijiji cha Tae,ni tapeli mkubwa anae jifanya usalama wa taifa,uvccm,afisa wa tamisemi,TRA,NECTA N.K...jina lake halisi ni NELSON SAFIEL MTETA (MANDELA),amewahi kufanya kazi VETA Tanga,morogoro,kibaha na sasa kuna taarifa kuwa anafanya kazi karakana ya jeshi airwing. Ambapo kuingia tu kumuona unaweza kula kichapo kwa wazee wa kazi.

Mtu huyu wana jf ni tapeli mkubwa akiwa jijini tanga amewatapeli wafanya biashara kibao akijifanya ni afisa wa TRA,amewatapeli vijana wengi akijifanya atawapatia leseni za udereva,ametapeli walimu kwa kujifanya atawahamisha vituo vyao vya kazi na kuwapandisha madaraja,amewatapeli watu wengi tu akijifanya atawapatia nafasi za jeshi,jkt,polisi na magereza,na hata kuwatafutia vyeti feki vya form 4 na 6,amemtapeli hata na mkewe ambae ni mwalimu (Safiness Brown Abbas) wa shule moja ya msingi jijini tanga na kumtelekeza kwa kumnyanganya documents zake za kazi, namba anazotumia ni 0784/0657 991187,0652 717271,0755 441940.

Mimi mwenyewe amenitapeli pesa taslimu TSH laki 8 namsaka kwa udi na uvumba usiku na mchana....

JIEPUSHENI NAE.
 
Naam mkuu huyu jamaa aisee hafai hata chembe waliofanya nae kazi wanamjua sana mdokozi hata kwa mali za ofisi nenda VETA pale tanga utaambiwa madudu yake.
 
Kama mnapenda shortcut kwa nini msitapeliwe.

Mkuu hakuna cha shortcut wala nini huyu mtu anae ongelewa hapa ni tapeli kweli kweli mtu ambae anaweza kukopa kwa jina la mkewe mamilioni ya pesa na kisha kumtelekeza kwa kashfa na matusi na documents zote za ajira za mkewe kaondokana nazo i.e vyeti,barua za ajira,kuthibitishwa kazini na za kupandishwa madaraja,jamaa ni zaidi ya muuaji eti.
 
Si unasema yupo airwing? ???!!!!
RB namba yake mbona hujaiweka hapa??!!!!
Ana kesi ngapi so far???!!!!

Dhumuni la barua yako(yenu) ilikuwa nini vile???!!
 
Duuh wakuu wa jeshi mpoo? tafuteni huyu mtu wapo wengi sana hata hapa jf wamejaa kibao wakina yahaya hao.
 
Au labda vyombo vya usalama vinawatuma hawa watu ndio maana hawachukui hatua yoyote ..
 
Si unasema yupo airwing? ???!!!!
RB namba yake mbona hujaiweka hapa??!!!!
Ana kesi ngapi so far???!!!!

Dhumuni la barua yako(yenu) ilikuwa nini vile???!!
Mkuu RB zipo zaidi ya kumi katika vituo mbalimbali nchini, unataka ngapi zibandikwe humu?
 
kila siku tunalia na wingi wa vyeti feki mtaani kumbe maagent wanajulikana tunataka wachukuliwe hatua sasa.
 
Wakuu nimeikuta hii sehemu, hakika Jeshi la wananchi haliwezi kukwepa kadhia hii ya kuajiri tapeli ambaye watu wanahaingaka kumtafuta na wapo kimya.

Jisomeeni wenywewe;

Ni kijana mzaliwa wilaya ya Same kata ya Suji kijiji cha Tae,ni tapeli mkubwa anae jifanya usalama wa taifa,uvccm,afisa wa tamisemi,TRA,NECTA N.K...jina lake halisi ni NELSON SAFIEL MTETA (MANDELA),amewahi kufanya kazi VETA Tanga,morogoro,kibaha na sasa kuna taarifa kuwa anafanya kazi karakana ya jeshi airwing. Ambapo kuingia tu kumuona unaweza kula kichapo kwa wazee wa kazi.

Mtu huyu wana jf ni tapeli mkubwa akiwa jijini tanga amewatapeli wafanya biashara kibao akijifanya ni afisa wa TRA,amewatapeli vijana wengi akijifanya atawapatia leseni za udereva,ametapeli walimu kwa kujifanya atawahamisha vituo vyao vya kazi na kuwapandisha madaraja,amewatapeli watu wengi tu akijifanya atawapatia nafasi za jeshi,jkt,polisi na magereza,na hata kuwatafutia vyeti feki vya form 4 na 6,amemtapeli hata na mkewe ambae ni mwalimu (Safiness Brown Abbas) wa shule moja ya msingi jijini tanga na kumtelekeza kwa kumnyanganya documents zake za kazi, namba anazotumia ni 0784/0657 991187,0652 717271,0755 441940.

Mimi mwenyewe amenitapeli pesa taslimu TSH laki 8 namsaka kwa udi na uvumba usiku na mchana....

JIEPUSHENI NAE.

Tatizo mnapenda vya mteremko acha mtapeliwe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom