Vyombo vya habari vyashindwa kuripoti mkutano wa Kinana Njombe

Rose Mayemba

JF-Expert Member
May 7, 2012
721
1,017
Ilikuwa ni fedheha kubwa sana kwa kiongozi huyo( katibu mkuu wa ccm taifa bwana kinana) pale alipotembelea mkoa wa NJOMBE hasa baada ya kukosa waumini wa kusikiliza mkutano wake.

Fedheha hii haikumkuta yeye peke yake bali ni pamoja na wanahabari aliongozana nao kwenye msafara wake hasa pale waliposhindwa kabisa kutengeneza story kutokana na mahudhurio hafifu ya wananchi wa mkoa huu(hasa upande wa TV)..

YEYOTE MWENYE KUPINGA NA ALETE USHAHIDI HAPA ILA HII NDIO HALI HALISI YA MWONEKANO WA CHAMA
 
Attachments

  • 20131207_151806.jpg
    20131207_151806.jpg
    576.1 KB · Views: 63
  • 20131207_153230.jpg
    20131207_153230.jpg
    324.5 KB · Views: 62
Wapige tu picha ya sehemu nyingine, itawasaidia. maana ndio kilichobakia.
 
kwani ile mikutano ya slaa kule kigoma vyombo vya habari vinaripoti au ni aibu tupu.
 
Ilikuwa ni fedheha kubwa sana kwa kiongozi huyo( katibu mkuu wa ccm taifa bwana kinana) pale alipotembelea mkoa wa NJOMBE hasa baada ya kukosa waumini wa kusikiliza mkutano wake.

Fedheha hii haikumkuta yeye peke yake bali ni pamoja na wanahabari aliongozana nao kwenye msafara wake hasa pale waliposhindwa kabisa kutengeneza story kutokana na mahudhurio hafifu ya wananchi wa mkoa huu(hasa upande wa TV)

YEYOTE MWENYE KUPINGA NA ALETE USHAHIDI HAPA ILA HII NDIO HALI HALISI YA MWONEKANO WA CHAMA

utakuwa umechanganya na kufananisha na mkutano wa slaa kigoma aliorushiwa mawe na mabango kibao ya kumpinga.
 
Bila wasanii wa kizazi kipya kulipwa kwenda kuburudisha kabla ya mikutano yao huwa ni tatizo.
 
Back
Top Bottom