Rose Mayemba
JF-Expert Member
- May 7, 2012
- 721
- 1,017
Ilikuwa ni fedheha kubwa sana kwa kiongozi huyo( katibu mkuu wa ccm taifa bwana kinana) pale alipotembelea mkoa wa NJOMBE hasa baada ya kukosa waumini wa kusikiliza mkutano wake.
Fedheha hii haikumkuta yeye peke yake bali ni pamoja na wanahabari aliongozana nao kwenye msafara wake hasa pale waliposhindwa kabisa kutengeneza story kutokana na mahudhurio hafifu ya wananchi wa mkoa huu(hasa upande wa TV)..
YEYOTE MWENYE KUPINGA NA ALETE USHAHIDI HAPA ILA HII NDIO HALI HALISI YA MWONEKANO WA CHAMA