• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Vyombo vya habari vyashindwa kuripoti mkutano wa Kinana Njombe

R

Rose Mayemba

Verified Member
Joined
May 7, 2012
Messages
720
Points
500
R

Rose Mayemba

Verified Member
Joined May 7, 2012
720 500
Ilikuwa ni fedheha kubwa sana kwa kiongozi huyo( katibu mkuu wa ccm taifa bwana kinana) pale alipotembelea mkoa wa NJOMBE hasa baada ya kukosa waumini wa kusikiliza mkutano wake.

Fedheha hii haikumkuta yeye peke yake bali ni pamoja na wanahabari aliongozana nao kwenye msafara wake hasa pale waliposhindwa kabisa kutengeneza story kutokana na mahudhurio hafifu ya wananchi wa mkoa huu(hasa upande wa TV)..YEYOTE MWENYE KUPINGA NA ALETE USHAHIDI HAPA ILA HII NDIO HALI HALISI YA MWONEKANO WA CHAMA
 

Attachments:

Communist

Communist

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2012
Messages
5,391
Points
1,225
Communist

Communist

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2012
5,391 1,225
Wapige tu picha ya sehemu nyingine, itawasaidia. maana ndio kilichobakia.
 
mwa 4

mwa 4

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Messages
3,392
Points
1,250
mwa 4

mwa 4

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2013
3,392 1,250
kwani ile mikutano ya slaa kule kigoma vyombo vya habari vinaripoti au ni aibu tupu.
 
mwa 4

mwa 4

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Messages
3,392
Points
1,250
mwa 4

mwa 4

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2013
3,392 1,250
Ilikuwa ni fedheha kubwa sana kwa kiongozi huyo( katibu mkuu wa ccm taifa bwana kinana) pale alipotembelea mkoa wa NJOMBE hasa baada ya kukosa waumini wa kusikiliza mkutano wake.

Fedheha hii haikumkuta yeye peke yake bali ni pamoja na wanahabari aliongozana nao kwenye msafara wake hasa pale waliposhindwa kabisa kutengeneza story kutokana na mahudhurio hafifu ya wananchi wa mkoa huu(hasa upande wa TV)

YEYOTE MWENYE KUPINGA NA ALETE USHAHIDI HAPA ILA HII NDIO HALI HALISI YA MWONEKANO WA CHAMA
utakuwa umechanganya na kufananisha na mkutano wa slaa kigoma aliorushiwa mawe na mabango kibao ya kumpinga.
 
Mndengereko

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Messages
7,150
Points
1,250
Mndengereko

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined Mar 24, 2011
7,150 1,250
Siasa za chadema na ccm season 2
 
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Messages
17,760
Points
2,000
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2010
17,760 2,000
Bila wasanii wa kizazi kipya kulipwa kwenda kuburudisha kabla ya mikutano yao huwa ni tatizo.
 
R

Rose Mayemba

Verified Member
Joined
May 7, 2012
Messages
720
Points
500
R

Rose Mayemba

Verified Member
Joined May 7, 2012
720 500
kwani ile mikutano ya slaa kule kigoma vyombo vya habari vinaripoti au ni aibu tupu.

waliosema itv wame edit picha za mkutano wa dr ni watu gani?

Kweli bindamu wasahaulifu
 

Forum statistics

Threads 1,404,395
Members 531,585
Posts 34,452,654
Top