Vyombo vya habari vyamshukia Pep Gudiola kumsaidia Arteta jinsi ya kushinda mechi mwenyewe afura

uwe hodari

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
3,930
8,241
Katika mahojiano Pep Gudiola aliulizwa maswali mengi ila ya kuhusu kumsaidia Arteta na arsenal,pep aligeuka mbogo

Mwanahabari: unamsaidia arteta kwenye mbinu za kushinda mechi?

Pep: swali gani hilo! Nina miaka 52 nimewahi kufika arsenal mara moja tu pale walipotusaidia uwanja na jinsi ya kumfunga manchester united kwenye fainali ya Uefa mwaka 2011

Mwanahabari: kwahiyo mnacheza mpira tofauti?
Pep: we unaonaje arsenal wanacheza zaidi na mawinga ili kushinda mechi sie manchester tunatumia zaidi viungo kushinda mechi lkn vitu vingine ni km tunaendana hivi lkn hii haimanishi kuwa namsaidia

Tulisema humu Arteta ni mid table team hapo arsenal ni swala la muda tu mashabiki wataanza kimkataa

Mnaona Sasa ndugu zangu kumbe bench la ufundi la Arsenal linategemea mbinu za kipara kushinda mechi tuombe Pep na arteta wasigombane otherwise gooners will sink, poor arteta

Itakuwa aibu ya karne kwa kikosi kibovu cha arsenal kuchukua ligi ya Epl,toka nianze kufuatilia hii ligi sijawahi kushudia timu mbovu kama inaongoza ligi

Leicester ilikuwa bora kuliko arsenal hii

Pep stop doing this bulshit
 
Wewe ndo uliandika ile thread nyingine inayoshangaa arsenal kuongoza ligi?

Huu ni uchawi,kwahyo hapo arsenal unawaona ni wabovu kwa kipi hasa

Leicester city ndo ilikuwa mbovu maana timu zote kubwa msimu huo zilikuwa mbovu na ndo maana kule uefa hawakuweza kufanya lolote

wEwe ni mchawi
 
So hata kocha wa Man Utd naye anasaidiwa kushinda mechi, maana nae alikuwa kocha msaidizi wa Pep Bayern.

Kama mpira uhujui bora unyamaze na si haya mashudu uliyo zungumza.
Bado natafakari namna gani kocha anaweza akamsaidia kocha mwenzie kufika hatua ya kuongoza ligi n.k licha ya huyo kocha hafiki mazoezini na hayupo ktk management ya timu hiyo nyingine, nakosa kabisa majibj.
 
Katika mahojiano Pep Gudiola aliulizwa maswali mengi ila ya kuhusu kumsaidia Arteta na arsenal,pep aligeuka mbogo

Mwanahabari: unamsaidia arteta kwenye mbinu za kushinda mechi?

Pep: swali gani hilo! Nina miaka 52 nimewahi kufika arsenal mara moja tu pale walipotusaidia uwanja na jinsi ya kumfunga manchester united kwenye fainali ya Uefa mwaka 2011

Mwanahabari: kwahiyo mnacheza mpira tofauti?
Pep: we unaonaje arsenal wanacheza zaidi na mawinga ili kushinda mechi sie manchester tunatumia zaidi viungo kushinda mechi lkn vitu vingine ni km tunaendana hivi lkn hii haimanishi kuwa namsaidia

Tulisema humu Arteta ni mid table team hapo arsenal ni swala la muda tu mashabiki wataanza kimkataa

Mnaona Sasa ndugu zangu kumbe bench la ufundi la Arsenal linategemea mbinu za kipara kushinda mechi tuombe Pep na arteta wasigombane otherwise gooners will sink, poor arteta

Itakuwa aibu ya karne kwa kikosi kibovu cha arsenal kuchukua ligi ya Epl,toka nianze kufuatilia hii ligi sijawahi kushudia timu mbovu kama inaongoza ligi

Leicester ilikuwa bora kuliko arsenal hii

Pep stop doing this bulshit
Ni Guardiola na sio Gudiola
 
So hata kocha wa Man Utd naye anasaidiwa kushinda mechi, maana nae alikuwa kocha msaidizi wa Pep Bayern.

Kama mpira uhujui bora unyamaze na si haya mashudu uliyo zungumza.
Nikupinge kwa ilo mkuu hakuwa msaidizi alikuwa coach wa Bayern munich under 21
 
Nitajie mchezaji moja wa arsenal ambaye angeweza kuweka bench starting eleven ya leicester city 2015/16

Back
Top Bottom