Kwani kazi yao kama chombo cha habari ni nini?coz watu tunafatila kujua nini kinaendelea kule wala hakuna wanachoonyesha..pia sio watu wote wanafahamu maana ya siku 3 za maombolezo,kazi zitaendelea kesho kama kawaida au hapana..taarifa kama hizi walitakiwa wawe wanazitoa mara kwa mara,watanzania wafahamulabda wewe ulitaka waomboleze vipi?
Duh!kaazi kweli kweli.Nyie vp si Zanzibar wana TV yao ya Taifa? hapa ndo inakuja umuhimu wa suala la muungano tunao uhitaji, watu wanasema tusizungumzie muungano! kwa hali hi muungano hauna budi kuzungumziwa?
Nyie vp si Zanzibar wana TV yao ya Taifa? hapa ndo inakuja umuhimu wa suala la muungano tunao uhitaji, watu wanasema tusizungumzie muungano! kwa hali hi muungano hauna budi kuzungumziwa?
kwa Nyerere ilikuwaje?labda wewe ulitaka waomboleze vipi?
Mimi niltegemea basi iwe hakuna kazi serikalini .Lakini si bendera yapepea nusu mlingoti ? Maana waekufa watanzania wengi sana wa pande zote 2 kwa kweli .
Hivi MV Bukoba ilipozama mwaka ule hali ilikuwaje visiwani ?
nasikia muungano ulisha vunjika, kwa hiyo iliyozama ni meli ya wachina na imezamia hukohuko uchina.Nilitegemea tbc wangekuwa msitari ya mbele kuunga mkono tangazo la mkuu wa kaya. Cha kushangaza hakuna cha maombolezo wala nn. Sijui ni kutomwelewa mkuu wa kaya au nyodo kwa tunaowalipa posho?
nami naamini hivo, tido kafanya mengi na alijua kipi kitangazwe lini. Naona baada ya kupata comments zetu angalau wamestuka na kuweka angalau updates kiasi..............Mzimu wa Tido Mhando unaendelea kuwala TBC1 ni mpaka waitubie dhambi hii.
utamaduni wetu hauruhusukwani kuomboleza huku mkifanya kazi zenu kama kawaida...haiwezekani?????
kwani kuomboleza huku mkifanya kazi zenu kama kawaida...haiwezekani?????