Vyombo vya habari vya umma na siku tatu za maombolezo

Kuna haja gani ya kuwafundisha namna ya kuomboleza!.Laana ya Allah ndiyo huwa fundisho kwa asiyejuwa ubinadamu au mwenye kudharau jirani zake kwa faida ya watu wa mbali.Nakusudia....Tanzania na USA.
Siku TBC na wenzao yatakapowapata ndani ya studio zao na majumbani mwao ndipo watajua.

Hii je ni kweli??
Tobyzieglerjr
Today 02:45 AM


Tanzanian's are now boycotting one of the main sponsors of Miss Tanzania (Vodacom Tanzania) which is owned by Vodafone International.

Despite calls to delay the event for at least a week, CSR team of Vodacom Tanzania refused citing the amount of money they will lose if they postpone the event which was quite shocking considering how they often like to be viewed as social responsibility champions in Tanzania.

The event went ahead even with its bad taste considering over 300 perished and some of whom were Vodacom customers. So far Vodacom's head of Marketing and CSR Mrs Mwamvita Makamba has refused to apologize for this blunder citing it as a 'minor blip' in her twitter feeds.
http://www.facebook.com/pages/...
 
Ni dharau ya hali ya juu kabisa..ni dhiaka ya kutupwa..ni unyama wa kupitiliza..Vodacom ni mabepari ambao hapo awali tayari Mwalimu J.K.Nyerere alishasema ubepari ni unyama,wao wanaangalia pesa huku wakijifanya wanajali jamii kumbe wakitupaka mafuta kwa mgongo wa chupa...kimsingi situmii mtandao huu na kamwe sitautumia
 
kwani kuomboleza huku mkifanya kazi zenu kama kawaida...haiwezekani?????

Ni sawa The Boss lakini basi wangeweka hata sign fulani ya kuonyesha kuna tukio zito linalotukabili Watanzania kwa ujumla .
Naona ndo maana huu muungano unapigiwa makelele
 

7818.jpg

i

Hawa wazungu walikuwa taaban kusaidiana na ndugu zetu kutafuta maiti na watu walionusirika

IMG_6975.JPG



Then VODACOM waliamua kuwa bize kufanya yafuatayoooo

IMG_9142.jpg


wakati mnahangaika kutafuta Maiti za watoto wenu na ndugu zenu hawa walisema watakaosa pesa na wataingia hasara kubwa so wakaendelea kujirusha kama kawaida
 
Huu ndio uzalendo, uungwana wa 'Watanzania' kuonyesha vichupi na vibinti vilivyokondeana vikidhalilishwa jukwaani kwa kushindania mkweche, badala ya kuwajuza watu madhira yaliyowafika wenzetu Z'bar.
 
Back
Top Bottom