Vyombo vya habari vya Tanzania bara na mfumo kristo: Redio imaan

Status
Not open for further replies.
Nimeona jana taarifa ya habari jamaa wa zanzibar anaongea hadi mapovu yanamtoka mdomoni eti wanaonewa waislam hawa jamaa akili zao cjui ni za kimasabuli saburi tu!
wameonewa nini? Vurugu wameanzisha wao, kanisa wamechoma wao hakuna aliyewalipiza sasa wanataka na vyombo vya habari viwasikilize wao tu, kweli hakuna kitu kizuri kama shule
 
Nch nyng zenye mchanyko na hii dini ya kiislam ..zna matatizo meng sana ...nenda Afrka magharib utaona hawa jamaa ni Janga la Afrika
 
mungu wangu tusaidie. wenzetu zanzibar wako katika hali ngumu sana ikiwemo kupoteza uzanzibari wao kama haujapotea,

kwa mfano waanzilishi wa CUF ambao waliwahi kutuhumiwa uhaini na kwa bahati nzuri walisalimika kwa kipengele cha kisheria kilichoonesha kua Zanzibar sio nchi.

nafkiri wazanzibari hawaamini tena viongozi wao wa kisiasa kwa kujua kua ni mapandikizi ambao wanajali maslahi yao binafsi

kwa mfano Maalim seif hamadi sasa ivi yupo kama makamo wa raisi basi hana tena nguvu au ushawishi kama alivyokua kabla juu ya kuitetea zanzibar juu ya kumezwa na bara.

mfano mwengine wafuasi wa mwamsho akiwemo Ali Saleh BBC journalist na Awadh Lawyer hawa walikua waongeaji na wadhamini wakubwa katika kuelimisha juu ya udhaifu wa muungano na kuwa mstari wa mbele kuupinga, sasa hivi kikwete amewateuwa kuwa wajumbe wa kuratibu maoni juu ya katiba mpya nao pia wamegeuza msimamo wao kwani 150 million sio mchezo.

nikiangalia sisi watanzania bara au watanganyika kwa nn tunang'ang'ania muungano ambao sioni tija yake kwetu au tukiuvunja leo sioni tutakacho kosa iweje iwe dhambi kuujadili? tuwaache waujadili huenda wakaona umuhimu wa muungano na wakiwa bado vipofu basi turidhie kwa kuuvunja kwa usalama kwani kuna watanzania wanaishi nchi tofauti duniani kwa amani wala hatuna muungano nao.
 
Mzee inawezekana umeangalia upande mmoja tu lakini nakuambia viongozi wetu wa kiafrika ndio tatizo. angalia nchi za asia nyingi zina mchanganyiko lakini hakuna machafuko kama haya yetu huku afrika uongozi mbovu ndio tatizo.
Nch nyng zenye mchanyko na hii dini ya kiislam ..zna matatizo meng sana ...nenda Afrka magharib utaona hawa jamaa ni Janga la Afrika
 
hawa wachochezi wanaangaliwa tu siku kikinuka ndo utawaona mamlaka husika kwenye tv na vitambi vyao kuonya watu......
 
kufuatia kuwapo utitiri wa radi za mfumo kristo, dawa yake ni ndogo. kuanzisha radio na tv za kiislamu. sheria za tanzania zinaruhusu hilo. chukueni hatua badala ya wazima na kuendelea kulalamika watu wazima na heshima zenu. kama ni mtaji wa kuanzisha hizo radio na tv itisheni harambee. mbona chadema wameanza kufanya hivyo. tuache kulalamika kila wakati. inatuongezea hasira sisi wengine.
 
wewe ni lazima una matatizo ya kufikiri tene kwa kiwango cha juu sana...tumia zaidi akili kuliko ushabiki wa wazee wachache wanaodanganywa...hili mnalotaka kuanzisha kwa sababu ya kudanganywa na nchi za kiarabu yatawatokea puani kumbukeni nyinyi mko wachache sana masaa 2 tu yanatosha kufanya kusiwa chenu historia....na tabia zenu za ubara na uzanzibar tukianza huku ni saa moja tu mmekwisha...huyu sheikh wenu wa muamsho atumie akili kanisa na madai yenu wapi na wapi? mmelianzisha sasa nisubirini

unaongea pointless mkuu
 
wewe ni lazima una matatizo ya kufikiri tene kwa kiwango cha juu sana...tumia zaidi akili kuliko ushabiki wa wazee wachache wanaodanganywa...hili mnalotaka kuanzisha kwa sababu ya kudanganywa na nchi za kiarabu yatawatokea puani kumbukeni nyinyi mko wachache sana masaa 2 tu yanatosha kufanya kusiwa chenu historia....na tabia zenu za ubara na uzanzibar tukianza huku ni saa moja tu mmekwisha...huyu sheikh wenu wa muamsho atumie akili kanisa na madai yenu wapi na wapi? mmelianzisha sasa nisubirini

unaongea pointless mkuu
 
siamini mkiristo akamshinda muislam.

Ukiongea kwa mifano inapendeza sana: ni wapi mkristo kashindwa kumshinda muislam, niwapi mkristo kashindwa na muisla!, hapo ndo nitaweza kuchangia. Nijuavyo mimi mkristo na mwislam hawajawahi kushindana. Labda hapo zanzibar ndo muislam aliyeshika zana zote anajaribu kushindana na mkristo aliyeimana akimsujudia yesu kristo mwana wa Mungu aliye hai, ngoja tuone nani atashinda. Nitarudi baada ya vita.
 
wadai vyombo vingi vya Tanzania bara vimejiegmeza zaidi ktk udini badala uhalisia.
Wanasema hii kutokana na vyombo hivyo wahariri na wakuu wake ni wa dini fulani.
wamesema Vyombo vingi vya habari vimegeuza picha ya tukio Lla Zanzibar kwa manufaa ya dini yao
Kwa mfano wamekimbia kuwahoji wakuu wa UAMSHO huku wakuu hao wakiwa tayari kuzungumza nao.
lakini wamedai habari nyingi za magaeti ya leo wameonyesha uhalisi mfumo kristo ulivyotawala kwenye vyumba vya wahariri
Walitahadharisha waislam kuwa macho na vyombo hivi




Sitashangaa kama wale viongozi wa Uamsho hawajaenda shule zaidi ya kujua kusoma Quran, then utegemee mtu kama huyu kuwa na maadili mema ya kukuongoza maishani mwako? Kanuni za kiislam ni sawa na ujamaa na ujamaa ni ukandamizaji unaopingwa na binadamu dunia nzima ila zenji wanataka kujirudisha katika ice age. Utakuta 99.9% ya wale wanaharakati hawajasoma zaidi ya kujua kusoma na kuandika quran lakini wanataka kazi ya kuajiriwa ofisini. Hata huko Uarabuni si kina mama siku hizi wanaandamana kupinga sheria ya dini yenu kutawala nchi? Ndugu zangu wa Zanzibari msidanganyike na wahuni wachache mtakuja juta. Wenzenu wanaanza hivi hivi, mara wakristo hivi mara waislam hivi, kisha vita na wanaoteseka kina mama, watoto, na wazee, wale wajanja wanaowadanganya wanakimbilia makwao Sudan, Somalia, nyie huku mnalilia UN ije iwanusuru kwenye vita wakati ujinga mmeukaribisha wenyewe. Hivi hamuoni kwenye TV hao watu wanaishije na mkajifunza?Msikurupuke tu jamani kwani elimu ni muhimu sana.
 
Shule wakati mwingine inasaidia jamani siyo kosa lao. Kwangu naishi na kijana wa kiislam ambaye hakujaliwa kupata elimu basi story zake zote ni udini kila akiona msanii kwenye TV lazima atake kujua ni muislam au mkristo hadi kero.
unatakiwa ushukuru Mungu ! Kero kama angekuwa ana abudu sanamu !
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom