Elections 2010 Vyombo vya habari vingefanya kazi kwa manufaa ya wananchi, tungekuwa wapi?

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Kila Leo Tunaona Hivi Vyombo vya Habari Vikireport Habari za Uongo na Kugeuza Ukweli ili Kuletetea Corrupt Ideas za CCM. Ni Kweli Wanadangwnywa au Wanalazimisha Kuandika Uongo? Inawezekana Tanzania Hakuna Free Press Kama Wananchi Wanavyofikiria. Hii Inadhihirisha Jinsi Gani Protokali za CCM ni Kuhakikisha Vyombo vya Habari Havisemi Ukweli kwa Wananchi.

Hiki Kitendo cha Vyombo vya Habari Kureport Wabunge wa Chadema Walifanya Makosa ni Another Example of Propaganda Once More. Ngoja Tuwakumbushe Hawa Waandishi wa Habari: Kampeni za Uchaguzi Zilipoanza Tuliona Jinsi Gani Vyombo vya Habari Vikipendelea Kuandika kwa Upande Mmoja na Matokeo Yakipo Tangazwa Wakaanza Kumpamba Dikteta Wao Kashinda Bila Kuuliza Maswali. Hii Inaprove Poor Journalism in Tanzania ni Aibu. Wananchi Wengi Tulifikia Kwamba Media Lazima Iwe Ahead of Population In terms of Reporting and Analyzing What Tanzanians Think. Kwanini Media Hawakuuliza Haya Maswali Muhimu: Uchaguzi Ulifanyika Huru? Uhesabuji wa Kura za Wananchi Ulifanyika kwa Haki na Within Tanzania Laws? Vitu Gani Vinatakiwa Vifanyike ili Kuboresha Demokrasia na Kuijenga Inchi Yetu? Mwandishi Yeyote Aliesomea Journalism na Anaefuatiliwa Impact ya Media Katika Society Atakueleza: Kama Media Itakuwa Critical kwa Serikali na Kufanya Kazi ya Kuwelimisha Wananchi Wake Italeta Maendeleo na Changamoto kwa Wananchi. Leo Tunaona Inchi Yetu Inakiu cha Free, Open and True Journalism na Hakuna Mfanyabiashara Anatake Advangante in This Market.

What Suprise Most of Us: In Terms Business we Wonder Why Any Business Will Want to Align Themselves with CCM. Ukitaka Kukua Kibiashara Unatakiwa Uweke Focus Kwenye Consumers ili Waweze Kununua Products. Hivi Vyombo vya Habari Hasa Private Media Wanaua Biashara Zao na in Long run Watauza Newspapers kwa Hao Hao Green Guards, Sijua Number Yao Inchini Sijui ni Ngapi Sasa.

"KItu Hatari ni Vyombo vya Habari vya Serikali Kukubali Kutumiwa na Chama Kimoja CCM. Hawa Waandishi Wanalipwa na Pesa za Walipa Kodi na Kutokuwa na Upeo na Kutumiwa Vibaya Namna Hii"
 
Back
Top Bottom