haha
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 1,400
- 1,628
Rudi kwenu kenge weweKwa taarifa zilizopo ni kwamba serikali imeviziba mdomo vyombo vya Habari visimulike zoezi la kuhamisha wamachinga. Hili suala linafanyika kimyakimya huku ndani yake kukiwa na maumivu makali sana juu ya Maisha na mitaji ya wamachinga.
Lililopo Nyuma ya pazia ni kwamba:
Muhimu:
- Wengi wanapoteza mitaji ambayo wamekopa.
- Wengi wao wanapelekwa kwenye maeneo ambayo hayana wanateja. Wafanyabiashara hapa wataelewa ila wasomi hawawezi elewa.
- Kuna vipigo vinaendelea na manyanyaso ya kimya kimya. Hawana uhuru wa kudai hadi zao.
- Zoezi linaendeshwa kininja sana. Wanadai mda walio pewa hautoshi kutafuta maeneo wanayo ona yanafaa kufanyie biashara yaani yenye wateja. Badala yake wameanza kula mitaji na kubaki makapuku.
1. Rais afuatilie vizuri vinginevyo tukutane 2025 tuone kura zinatoka wapi.
2. Kama vyombo vya Habari vikiendelea kuzibwa midomo basi tuhesabu maimivu huko tuendako.