Vyombo vya habari viache kuwapotosha wananchi

Kwamhuzi

JF-Expert Member
Nov 15, 2014
1,762
400
Katika hali ya kushangaza vyombo vya habari hasa ITV vinaendelea kutangaza yanayoitwa matokeo ya uchaguzi kana kwamba hayana matatatizo yeyote.

Tunajua wote kwamba matokeo ya uchaguzi wa mwaka huu hayakubaliki na wadau wengi kwa kuwa yana sintofahamu nyingi.Hii ina maana kwamba kuendelea kuyatangaza matokeo hayo huku tukijua kwamba hayakubaliki ni kuyapa uhalali usio halali.Kuendelea kuyatangaza pia ni kuvifanya vyombo vya habari viwe adui wa wananchi.

Ni vema kwa hiyo matangazo hayo yakasitishwa mara moja kwa kuwa kuendelea kuwatangazia wananchi ni kuwapa habari isiyo sahihi.
 
Kwa hiyo wasitangaze na hao wengi ni wewe na nani?

Acha matokeo yaje wananchi wamechagua na heshimu maamuzi yao.

Mlipokuwa mnabwabwaja mitandaoni mlizani kila mtu atawafata ona sasa limewashuka.

Umesahau na wanaompenda Dk. Slaa nao wameamua yao pia.

Nacheka
 
Back
Top Bottom