Vyombo vya habari Tanzania vinaandika mambo ya mapepo kufunika kombe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyombo vya habari Tanzania vinaandika mambo ya mapepo kufunika kombe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ng'wanangwa, Mar 22, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  funika kombe mwanaharsamu apite.

  usemi hiuu unadhihirika kaitika media ya Tz kwa sasa. watu tunapata umeme twente foo awaz na hatuambiwi nini kimefanyioka. mvua za masika zimenyesha na kujaza mabawa? mitambo ya dowaz imewashwa kama makamba mdodo alivyosema? je dowaz wamelipwa mabilioni yao?

  yotae haya kaama watanzania 2natakiwa kujua, kupitia media zetu, lakini hatuambiwi. si kama hatutaki kupata umeme, lakini tuajua kulikuwa na tatizo na kama kuna suluhu imefikiwa tuna haki ya kuambiwa na kujua kama wananchi. na tunaweza kujua kupitia media tu, si vinginevyo.

  cha ajanbu sasa:

  media ya tanzania imejaa maruhani. imewjaa wahariri njaa wanaoweza kuamrishwa na fisadi wasimpige picha na wasipige kweli. wahariri zaidi ya 100. waht a shame on tnazania media.

  sasa media hii hii imegeuka kutupa habari za majini na mapepo. habari za kusadikika za omugarika wa loliondo. aibu.

  kila kukicha headline za magazeti yetu, tv, na redio zinahubiri loiliondo.

  huu ni upumbavu kwa media ya tanzania.

  nitaendkele kuangalia aljazeera kila siku. wapuuzi sana media ya Tz
   
 2. Mr. Mwalu

  Mr. Mwalu JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2011
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 811
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  Kila kukicha loliondo, wanaacha mambo ya msingi! Na hao waliopona hatuwaoni kututhibitishia! Ndo taabu ya kuongozwa na vilaza!
   
 3. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Kwani kunavyombo vya habari Tanzania? Ukitoa mwanahalisi na magazeti mengine kama mawili hivi.Unao baki hapo ni uozo tu.Redio ni unoko kwenda mbele na habari ambazo hazina mashiko kwa maslahi ya taifa.TV ni kulusha tamthilia habari za kiuchunguzi hamna. Watakuwa wanaogopa watawala walio wachache.Hapo tunachoka. Ya babu wacha watangaze ili mtu akanywe kikombe kwani ktk hospitali zao hakuna kitu ndio maana msaada uko kwa babu kikombe 500 bila rushwa wakati hospital rushwa 50000 na tiba 150000. Sasa watangaze maovu ya serikali kwanza na sehemu ya matangazo babu na kikombe awepo ili tusisahau taabu wanazo leta wakuu wetu.
   
 4. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Kweli kabisa vyombo vya habari vimepoteza muelekeo ..
   
 5. C

  Capitalist Senior Member

  #5
  Mar 22, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni wanahabari wetu ni njaa tupu wanapewa shavu kidogo na mafisadi wanaandika ujinga, pia vyombo vya habari vinamilikiwa na mafisadi na makada wa ccm. Je tutegemee nini hapo watz?

  MUNGU IBARIKI TANZANIA na WATU WAKE.
   
Loading...