Vyombo vya habari Tanzania vimesinyaa

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,717
34,786
Wakati Tundu Lissu anahojiwa na vyombo vya habari vya VOA na BBC niliangalia yale maswali nikajiuliza kama yanaweza kuulizwa na vyombo vya habari vya Tanzania.

Kwa sasa Asilimia kubwa ya vyombo vyetu vya habari vinazidiwa weledi hata na wale wenye kuweka habari kwenye Youtube ama Instagram. Ni aibu lakini ni kweli kwamba weledi wa walio kwenye vyombo rasmi vya habari (Mainstream Media) wakati mwingine unazidiwa kwa mbali sana na watu hata wasiojua ABC za mambo ya Tasnia ya Habari.

Asilimia kubwa ya hizo zinazoitwa habari kwenye vyombo vyetu vya habari ni ripoti za matukio ya taarifa za ma - RPC, matamko ya wanasiasa, ufunguzi ama ufungaji wa semina ama makongamano.

Weledi wa vyombo vyetu vya habari Tanzania umesinyaa kiasi kwamba hamu ya kufuatilia habari kwenye vyombo hivyo imepungua sana kutokana na habari zao kutokuwa na ladha inayostahili.
 
Sana. Kama joka la kibisa!!!! Wanafiki wakubwa. Kazi kusifia Magufuli tu. No vibrant media no democracy no development. No nothing!!
Wanakera sana, wao kila siku kazi yao ni kuripoti matukio tu tena yale yanayopendwa na watawala. Kwa nini hawafanyi uchambuzi na kuruhusu watu wenye fikra tofauti kupambana kwenye vyombo vyao vya habari?

Wakati wa zile vurugu za uchaguzi wa Zanzibar nilikuwa nasubiri nione chombo kitakachokuwa kinaandika habari za upande wa Maalim seif, thubutuu, wote walikaa kimyaaaa!!
 
Wanakera sana, wao kila siku kazi yao ni kuripoti matukio tu tena yale yanayopendwa na watawala. Kwa nini hawafanyi uchambuzi na kuruhusu watu wenye fikra tofauti kupambana kwenye vyombo vyao vya habari?

Wakati wa zile vurugu za uchaguzi wa Zanzibar nilikuwa nasubiri nione chombo kitakachokuwa kinaandika habari za upande wa Maalim sief, thubutuu, wote walikaa kimyaaaa!!
Hatuna kabisa wale waandishi wanaoitwa investigation journalists(kumbuka gazeti la mfanyakazi,motomoto issue ya president Mwinyi kutumia pesa zetu nyingi tu kwenye ule mkutano wa Rio;Rai kipindi hili gazeti linaanza kuingia mitaani,now ni rubbish)na nimehudhunishwa mno na Nipashe iliyoamua kujifungia yenyewe!!!baada ya kumwandika visivyo serikali ya awamu hii,ndugu zangu Watanzania tusisahau kuwa our no 1 alikuwa mmoja wa mawaziri waandamizi kabla ya kuteuliwa kuwa Rais tujiulize alifanya nini kuonyesha kuwa alikuwa anakwazika na utendaji kazi wa marais wake?,alikuwa ni coward tu kama walivyo wengine now kwenye serikali yake,waoga wa kutake risk,waoga wa njaa ya matumbo yao;kwa historia ya nchi hii ni mawaziri watatu tu waliowahi kujiuzuru kwa kuwajibika au kutoridhishwa na uongozi wa rais kipindi hicho,came 2025 baada ya our no 1 kuondoka watajitokeza wengi tu na kila mmoja wao atapata sauti ya kuongea,but now hawana sauti hizo,reason behind ni uoga na ubinafsi wao,but always TIME na History ni wahukumu wenye haki.
 
Wakati Tundu Lissu anahojiwa na vyombo vya habari vya VOA na BBC niliangalia yale maswali nikajiuliza kama yanaweza kuulizwa na vyombo vya habari vya Tanzania.

Kwa sasa Asilimia kubwa ya vyombo vyetu vya habari vinazidiwa weledi hata na wale wenye kuweka habari kwenye Youtube ama Instagram. Ni aibu lakini ni kweli kwamba weledi wa walio kwenye vyombo rasmi vya habari (Mainstream Media) wakati mwingine unazidiwa kwa mbali sana na watu hata wasiojua ABC za mambo ya Tasnia ya Habari.

Asilimia kubwa ya hizo zinazoitwa habari kwenye vyombo vyetu vya habari ni ripoti za matukio ya taarifa za ma - RPC, matamko ya wanasiasa, ufunguzi ama ufungaji wa semina ama makongamano.

Weledi wa vyombo vyetu vya habari Tanzania umesinyaa kiasi kwamba hamu ya kufuatilia habari kwenye vyombo hivyo imepungua sana kutokana na habari zao kutokuwa na ladha inayostahili.
Walishwa zibwa midomo hakuna habari za kiuchunguzi wanaogopa kupotezwa
 
kuliko kutoa elf moja kununua gazeti bora ukanunua mb ukaperuzi mitandao
 
Hapa hakuna waandishi wa habari ila wahuni tu wanaotafuta milo yao!
Niliangalia mkutano flani alifanya nadhani ni kamishna wa BOT akakataa maswali na wakawa kama kondoo!

Juzi kati kwenye mkutano wao na Joshua Nassari nae alikataa maswali nikakuta wale wale wanajifanya wamekasirika wanaropoka hovyo hovyo pale!

Sasa nikajiuliza hawa wanafanya kazi kwa kuangalia huyu yuko upande gani au wanafuata weledi wao??
 
Back
Top Bottom