Vyombo vya habari Tanzania: Press Release ya Ndugai wao wanaita "Barua"

Ranger9

JF-Expert Member
Apr 27, 2021
1,503
2,777
Tulichokiona Umma na walichopewa waandishi wa habari hadi sasa ni Press Release ya Ndugai kuhabarisha kuwa amemwandikia Katibu Mkuu wa CCM "Barua" ya kujiuzulu nafasi yake ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwa hiyo aliyeona BARUA ya Ndugai ni Chongola peke yake, na pengine Katibu wa Bunge aliyenakilishwa hiyo barua, wengine wote tumeona PRESS RELEASE/TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Lakini matiganga yaliyojaa katika vyombo vya habari Tanzania yanaripoti kuwa hiyo ni BARUA😀

Mfano huu hapa:

20220107_075758.jpg
 
Cha muhimu kajiuzulu, mengine tutafukia mashimo tu.
Kwa sasa wakiwa bungeni Job na Kibajaji tofauti yao ni siti tu watakazokaa.
 
Tulichokiona Umma na walichopewa waandishi wa habari hadi sasa ni Press Release ya Ndugai kuhabarisha kuwa amemwandikia Katibu Mkuu wa CCM "Barua" ya kujiuzulu nafasi yake ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwa hiyo aliyeona BARUA ya Ndugai ni Chongola peke yake, na pengine Katibu wa Bunge aliyenakilishwa hiyo barua, wengine wote tumeona PRESS RELEASE/TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Lakini matiganga yaliyojaa katika vyombo vya habari Tanzania yanaripoti kuwa hiyo ni BARUA

Mfano huu hapa:

View attachment 2071545
Mkuu hili neno MATIGANGA Bakita wana taarifa nalo????????
 
Tulichokiona Umma na walichopewa waandishi wa habari hadi sasa ni Press Release ya Ndugai kuhabarisha kuwa amemwandikia Katibu Mkuu wa CCM "Barua" ya kujiuzulu nafasi yake ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwa hiyo aliyeona BARUA ya Ndugai ni Chongola peke yake, na pengine Katibu wa Bunge aliyenakilishwa hiyo barua, wengine wote tumeona PRESS RELEASE/TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Lakini matiganga yaliyojaa katika vyombo vya habari Tanzania yanaripoti kuwa hiyo ni BARUA

Mfano huu hapa:

View attachment 2071545
Asante sana kwa ufafanuzi
 
Huo ni uzuzu wa waandishi wetu wa habari

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom