Sophist
Platinum Member
- Mar 26, 2009
- 4,486
- 3,407
Vyombo na waandishi wa habari nchini Tanzania mnapashwa kutimiza wajibu wenu wenu bila woga. Matukio ya Zanzibar na kauli za ma-protagonists inadhihirisha wazi kuwa CCM Zanzibar inaongozwa na makundi hasimu 2; CCM Sheini na CCM Karume. Katika hali hii tusitegemee uchaguzi unaopigiwa chapuo na CCM Sheini kufanyika. Wachambuzi na vyombo vya habari andikeni!