Vyombo vya Habari na Wanahabari, Chanzo cha Kudumaza Demokrasia na Kukuza Ujinga kwa Wananchi

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,745
71,103
Mchawi mkubwa sana wa kukua kwa demokrasia na uelewa wa wananchi katika nchi hii ni Waandishi wa Habari na vyombo vyao vya Habari.

Kazi na wajibu wao mkubwa ni kuelimisha na kuhabarisha bila upendeleo na uwazi mkubwa. Hata ikibidi kutoa ufafanuzi na kubalance story zao kwa kuzingatia maadili ya taaluma zao.
Jumapili kulikuwa na hotuba mbili za viongozi wawili wakuu wa vyama vya siasa nchini, mmoja akizungumza na waumini wa KKKT kule Chato na mwingine akizungumza na Taifa kupitia kupitia vyombo vya Habari (mitandao).

Kesho yake walicholishwa wananchi na vyombo vya Habari ni Mungu tuu anajua na wale wenye uelewa wa kilichozungumzwa. Wanahabari na vyombo vyao hapo wamedidimiza demokrasia kwa kuwanyima wananchi wa kawaida uelewa wa nini kinaendelea.

Jana Spika Ndugai kajitokeza hadharani kumshambulia Mbowe, Leo vyombo vya Habari vimeripoti kwa kina sana mashambulizi ya Ndugai huku wananchi wakiwa hawana kile kilichokuwa kimesemwa na Mbowe ili walinganishe au wangekuwa wamepewa uchambuzi wa kina pia.

Kwa nini sasa hivi wanahabari wote na vyombo vyao wanakubali kuwa kama waajiriwa wa Gazeti LA Uhuru, Channel 10, au TBC1? Mbona hawaonyeshi weledi wao bila woga kama wafanyavyo wanasiasa (tunawajua waliojitoa)? Mbona wakijikuta pabaya nao wanataka wapiganiwe wakati wao hahapiganii wengine kwa kalamu zao wakati kalamu INA nguvu?
Kwa sasa mwananchi asiye na uwezo wa kuingia mitandao ya kijamii hawezi kuzijua kasoro za serikali hii na utawala kwani atakumbana na propaganda, mapambio na sifa za ajabu na uongo toka kila chombo cha habari.

Kizazi cha kina Ulimwengu, Mbwambo, Meena, Balile nk ndio kinapotea kama upepo wa kusi! Nani wa kuponya nchi kwa ukweli kuwa hadharani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Chakaza,
  1. Kwanza naunga mkono hoja na kwa vile na mimi ni mwandishi wa habari, naomba niwe miongoni mwa wachangiaji wa mwanzo wa mada hii ambaye ni mchezaji na niko uwanjani. Mwanzo nilikuwa critic wa Magufuli, lakini sasa baada ya kujiridhisha kuwa Magufuli is doing something for this nation, sasa namsupport, media zinam support na waandishi wanaojitambua, pia wanamsupport.
  2. Jukumu la media ni kuhabarisha, kuelimisha na kuburudisha, ili media ziweze kutimiza majukumu yake hayo, they have to survive. Ili media zi survive, ni lazima ziende na wakati kwa kusikilizia nguvu ya soko, kwa soko la sasa, nguvu za soko zinaelekeza habari za Magufuli. Hivyo tunaishi kwenye ulimwengu wa laws of the jungle, struggle for existance, survival for the fittest!, Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer! - JamiiForums
  3. Media kwenye kutoa habari, habari huwa inapimwa kutokana na uzito. Uzito unapimwa kwa vigezo, big names makes news, the biggest name in Tanzania ni rais wa JMT, sasa akiongea rais wa JMT na akaongea KUB, automatically big news ni alichoongea rais wa JMT.
  4. Media inapaswa kuwa independent na ku play impartiality. Hivyo media is supposed kuwa ni Mhimili wa nne usio rasmi, jee media ya Tanzania ni independent?. Media kuikosoa Serikali: Je, Tanzania tuna Strong Media au Strong Journalists wenye Uwezo huo? - JamiiForums Media Kususia Habari za Fulani: Jee Tanzania Tuna Independent Media Yenye Jeuri Hiyo?. - JamiiForums Uhuru wa Habari Tanzania: Je, Vyombo Viko Huru? Je, Waandishi wa Habari wako huru? Wanathaminiwa?. - JamiiForums
  5. Pamoja na media kuwa impartial, media na waandishi individuals wana uhuru wa ku take sides, na kuunga mkono upande fulani. Hivyo sasa media nyingi na waandishi wengi wa habari wamegundua rais Magufuli ana nia njema na taifa letu na atatukomboa hivyo media nyingi na waandishi wengi wa habari nikiwemo mini, tumeamua kuunga mkono juhudi za Mhe. Rais, hivyo hakuna ubaya wowote. Kuelekea Octoba 2015: Je, Sasa ni Wakati wa Media Zetu Kufanya Endorsement ya Wagombea? - JamiiForums
  6. Chadema kilipaswa kuwa na media yake na media zinazoiunga mkono Chadema, ili Mbowe akiongea zimtoe kwenye fonti fedi, vinginevyo aendelee kuhutubia kupitia Facebook, Twitter na YouTube. Mabadiliko Chanya ya Ujio wa Lowassa: CHADEMA Kuhama Ufipa!, Kuwa Makao Yake, Kituo cha TV na Redio! - JamiiForums
P
 
Wafadhili wa ndani na nje walishatoa fedha nyingi Kama msaada wa kuisaidia Chadema ili nao wawe na vyombo vyao vya habari ili kuwe na balance. Tatizo lina anzia kwa DJ katafuna fedha zote, Ruzuku katafuna zote, michango ya wabunge ya kila mwezi katafuna yote, mademu ndani ya Chama ana jitafunia Kama King Muswati alafu leo unalushia tatizo kwa waandishi badala ya Chama kujitathmini, Uko ni kukataa kuwajibishana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ruzuku zaidi ya milioni 300 ajabu hata redio Chadema hakuna!
Kama mada imekuzidi uwezo achana nayo. Chadema au CUF kuwa na redio yake kuna tofauti gani na Uhuru FM au Channel 10?
Mambo yatakuwa yaleyale tuu kwani vyote vitakuwa vyombo vyao propaganda, tunachokosa ni waandishi walio huru na vyombo vilivyo huru. Kwenye hili Pascal Mayalla anaweza kulieleza vizuri (akiamua kusimamia kweli) kwani ni mtu aliyekuwepo ndani ya habari muda mrefu na misukosuko anaijua sio kwa kuwakalisha "Kitimoto" wenzake wakati ule (waliokuwepo wanajua) bali na yeye kukalishwa kitimoto ndani ya mjengo.
Funguka Pascal maana sasa hivi kalenda hairuhusu kukuita kwenye kamati ya kinga na "madaraka feki" ya Bunge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanahabari nchi hii ni moja ya kundi la wajinga na wasiojielewa ingawa ni baadhi yao.

Wakipata .matatizo wapinzani ndio wanaowatetea lakini hawana shukurani hata ya kujiongeza walau kidogo.

Ujinga huu upo kwa muda sasa tangu awamu hii iingie madarakani na haijaanza jana au juzi.

Tushukuru uwepo wa mitandao vinginevyo hali ingekuwa mbaya sana.
 
Awamu hii ni ya kushughulikiana! Ukionekana unaleta "fyokofyoko" tu, unashughulikiwa haraka, na kwa namna yoyote ili mambo yatengemae na hivyo kusikika sauti moja tu ya kusifu na kupongeza na siyo kukosoa!

Mifano ni mingi mno!!! Kuanzia kwa Mkurugenzi wa JF, Pascal Mayalla, Eric Kabendera, magazeti kama Mwanahilisi, Mawio, Tanzania Daima, Mwananchi, Vituo vya Redio na Luninga, Warusha taarifa Mitandaoni kama akina Mdude Chadema, kupitishwa kwa sheria ya Habari, nk.
 
Mkuu Chakaza,
  1. Kwanza naunga mkono hoja na kwa vile na mimi ni mwandishi wa habari, naomba niwe miongoni mwa wachangia wa mwanzo ambaye ni mchezaji na niko uwanjani.
  2. Jukumu la media kwenye kutoa habari, habari huwa inapimwa kutokana na uzito. Uzito unapimwa kwa vigezo, big names makes news, the biggest name in Tanzania ni rais wa JMT, sasa akiongea rais wa JMT na akaongea KUB, automatically big news ni alichoongea rais wa JMT.
  3. Media inapaswa kuwa independent na ku play impartiality. Hivyo media is supposed kuwa ni Mhimili wa nne usio rasmi, jee media ya Tanzania ni independent?.
  4. Pamoja na media kuwa impartial, media na waandishi individuals wana uhuru wa ku take sides, na kuunga mkono upande fulani. Hivyo sasa media nyingi na waandishi wengi wa habari wamegundua rais Magufuli ana nia njema na taifa letu na atatukomboa hivyo media nyingi na waandishi wengi wa habari nikiwemo mini, tumeamua kuunga mkono juhudi za Mhe. Rais, hivyo hakuna ubaya wowote.
  5. Chadema kilipaswa kuwa na media yake na media zinazoiunga mkono Chadema, ili Mbowe akiongea zimtoe kwenye fonti fedi, vinginevyo aendelee kuhutubia kupitia Facebook, Twitter na YouTube.
P
Mi naongeza moja. Media zinahitaji kuishi na ili ziishi ni lazima zipate wateja kwa hivyo media zinaangalia wanataka nini na kuwapa wanachokitaka,
 
Leo Bwana harusi mpya mjini @frank_de_francoys Mwenyekiti Bavicha Jimbo la Ilala ( 675 X 640 ).jpg
 
Mchawi mkubwa sana wa kukua kwa demokrasia na uelewa wa wananchi katika nchi hii ni Waandishi wa Habari na vyombo vyao vya Habari.

Kazi na wajibu wao mkubwa ni kuelimisha na kuhabarisha bila upendeleo na uwazi mkubwa. Hata ikibidi kutoa ufafanuzi na kubalance story zao kwa kuzingatia maadili ya taaluma zao.
Jumapili kulikuwa na hotuba mbili za viongozi wawili wakuu wa vyama vya siasa nchini, mmoja akizungumza na waumini wa KKKT kule Chato na mwingine akizungumza na Taifa kupitia kupitia vyombo vya Habari (mitandao).

Kesho yake walicholishwa wananchi na vyombo vya Habari ni Mungu tuu anajua na wale wenye uelewa wa kilichozungumzwa. Wanahabari na vyombo vyao hapo wamedidimiza demokrasia kwa kuwanyima wananchi wa kawaida uelewa wa nini kinaendelea.

Jana Spika Ndugai kajitokeza hadharani kumshambulia Mbowe, Leo vyombo vya Habari vimeripoti kwa kina sana mashambulizi ya Ndugai huku wananchi wakiwa hawana kile kilichokuwa kimesemwa na Mbowe ili walinganishe au wangekuwa wamepewa uchambuzi wa kina pia.

Kwa nini sasa hivi wanahabari wote na vyombo vyao wanakubali kuwa kama waajiriwa wa Gazeti LA Uhuru, Channel 10, au TBC1? Mbona hawaonyeshi weledi wao bila woga kama wafanyavyo wanasiasa (tunawajua waliojitoa)? Mbona wakijikuta pabaya nao wanataka wapiganiwe wakati wao hahapiganii wengine kwa kalamu zao wakati kalamu INA nguvu?
Kwa sasa mwananchi asiye na uwezo wa kuingia mitandao ya kijamii hawezi kuzijua kasoro za serikali hii na utawala kwani atakumbana na propaganda, mapambio na sifa za ajabu na uongo toka kila chombo cha habari.

Kizazi cha kina Ulimwengu, Mbwambo, Meena, Balile nk ndio kinapotea kama upepo wa kusi! Nani wa kuponya nchi kwa ukweli kuwa hadharani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamebaki wenye njaa, akina Mayala
 
Kwani Tanzania Daima nalo halikuandika habari za mbowe?
Kama ndivyo basi hiyo hotuba haikuwa na mvuto au gazeti nalo limeanza usariti.
 
Mkuu Chakaza,
  1. Kwanza naunga mkono hoja na kwa vile na mimi ni mwandishi wa habari, naomba niwe miongoni mwa wachangiaji wa mwanzo wa mada hii ambaye ni mchezaji na niko uwanjani. Mwanzo nilikuwa critic wa Magufuli, lakini sasa baada ya kujiridhisha kuwa Magufuli is doing something for this nation, sasa namsupport, media zinam support na waandishi wanaojitambua, pia wanamsupport.
  2. Jukumu la media ni kuhabarisha, kuelimisha na kuburudisha, ili media ziweze kutimiza majukumu yake hayo, they have to survive. Ili media zi survive, ni lazima ziende na wakati kwa kusikilizia nguvu ya soko, kwa soko la sasa, nguvu za soko zinaelekeza habari za Magufuli. Hivyo tunaishi kwenye ulimwengu wa laws of the jungle, struggle for existance, survival for the fittest!, Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer! - JamiiForums
  3. Media kwenye kutoa habari, habari huwa inapimwa kutokana na uzito. Uzito unapimwa kwa vigezo, big names makes news, the biggest name in Tanzania ni rais wa JMT, sasa akiongea rais wa JMT na akaongea KUB, automatically big news ni alichoongea rais wa JMT.
  4. Media inapaswa kuwa independent na ku play impartiality. Hivyo media is supposed kuwa ni Mhimili wa nne usio rasmi, jee media ya Tanzania ni independent?. Media kuikosoa Serikali: Je, Tanzania tuna Strong Media au Strong Journalists wenye Uwezo huo? - JamiiForums Media Kususia Habari za Fulani: Jee Tanzania Tuna Independent Media Yenye Jeuri Hiyo?. - JamiiForums Uhuru wa Habari Tanzania: Je, Vyombo Viko Huru? Je, Waandishi wa Habari wako huru? Wanathaminiwa?. - JamiiForums
  5. Pamoja na media kuwa impartial, media na waandishi individuals wana uhuru wa ku take sides, na kuunga mkono upande fulani. Hivyo sasa media nyingi na waandishi wengi wa habari wamegundua rais Magufuli ana nia njema na taifa letu na atatukomboa hivyo media nyingi na waandishi wengi wa habari nikiwemo mini, tumeamua kuunga mkono juhudi za Mhe. Rais, hivyo hakuna ubaya wowote. Kuelekea Octoba 2015: Je, Sasa ni Wakati wa Media Zetu Kufanya Endorsement ya Wagombea? - JamiiForums
  6. Chadema kilipaswa kuwa na media yake na media zinazoiunga mkono Chadema, ili Mbowe akiongea zimtoe kwenye fonti fedi, vinginevyo aendelee kuhutubia kupitia Facebook, Twitter na YouTube. Mabadiliko Chanya ya Ujio wa Lowassa: CHADEMA Kuhama Ufipa!, Kuwa Makao Yake, Kituo cha TV na Redio! - JamiiForums
P
Kama hata wewe unatetea huo upuuzi wa kusingizia "KUUNGA MKONO JUHUDI", basi tumekwisha! Mleta thread hii ameuliza kitu cha maana sana, ambacho kiuhalisia kipo. Na, sababu kuu, ni kujipendekeza tu kwa watawala, na si UBORA WA HABARI IUZIKAYO KWA WASOMAJI. Kuthibitisha hili, waulize wauza/wamiliki wa magazeti kama habari zenye KUTANGAZA JUHUDI zinauzika kwa wasomaji.
Na zikiandikwa/tangazwa hizo habari za upande wa pili, au za kukosoa kwa kitu kilichowazi, na watawala hawajazipenda, utakiona cha mtema kuni. Au, kwa sasa hivi, kuna huu ugonjwa, chombo cha habari kikitangaza hali halisi, kinafungiwa siku hiyohiyo.
Hivyo, waandishi wa kwenye awamu hii, HAWAKO HURU. Brother Pascal acha blah blah, ukweli unaujua!
 
Back
Top Bottom