Vyombo vya habari na uandishi wa kufuata 'upepo'

Mzee23

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
1,696
3,472
Habari wakuu..

Huwa nasikitika kuona vyombo vyetu vya habari kuacha acha habari hewani bila mwendelezo wake! Uandishi wa matukio ya kuwagusa "wakubwa" kisha hujui nini hatma ya tukio husika.

MFANO:
Tukio la uteuzi wa wakurugenzi wawili wa halmashauri ambapo mtu mmoja alipangiwa halmashauri mbili tofaut mtu mmoja. Swali kwa vyombo vyetu vya habari, hatma yao imekuwaje? Wamepewa halmashauri mbilimbili kama ilivyo kwenye "mkeka wa mama"? Au wamepewa moja moja na ni zipi? Na waliojaza hizo zinazobaki ni kina nani? Au wametumbuliwa?
Cc,
Pascal Mayalla Mwanahabari Huru
 
Back
Top Bottom