Vyombo vya habari mlikeni Barrick-Bulyanhulu

Mtendaji wa kaya

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
336
0
Nasikitika na hivi vyombo vya habari kwa kushindwa kufuatilia hali ya wafanyakazi migodini! Matukio ya ajali yanatisha! mwezi uliopita mtu kafa kwa kuangukiwa na mwamba bwana EMMANUEL MRUTU....leo tena ni siku ya tatu mfanyakazi kapotelea chini ya ardhi! uongozi wa mgodi upo kimya na serikali ipo kimya! Ndugu zangu ni nani mtetezi wetu sekta ya madini.....vya vya wafanyakazi vilifanyiwa mizengwe mpaka muda huu mara NUMET mara TAMICO! Watanzania tunaangamia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom