kamtesh
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,395
- 512
Wananchi sana haki yakupata habari. Vyombo vya habari vimepigwa kufuli na vingine vyote hata habari za wapinzani hazionyeshi. Ni ccm tuu TV zote mubashala.
Wananchi wamenyimwa haki yakusikiliza pande zote za wanasiasa, wanaongea pumba, au mchere, wachochezi au walinda Amani, wazalendo au wasio wazalendo.
Kwa mara yakwanza, vyombo vyote vimeminywa kwa maksudi ili kupendelea chama tawala. NEC wameona kabisa habari hzijawa balance kwa wananchi na lengo lao la kuhodhi TV zote ili wananchi wasione upande mwingine.
Ila ccm wamechelewa, social network inanguvu zaidi kuliko TV siku hizi. Watu are more informed kuliko wanavyogikiria. Sasa wanasema when the door I'd closed, the window is opened. This year, the the social media has been the window to the opposition.
Vyama tawala vingi vimeangushwa na social media. News travel fast on social media than on TV. Wengi wataompigia TL watakua vijana wakileo social media maniacs. Let's wait and see the end game na strategy ya ccm in 2020.
Kwaufupi, kupigwa pini kwa vyama airtime on TV, kime boost sana upinzani, wanasema kumpiga teke chura.