Wanabodi,
Tangu RC Makonda kutaja list ya watu mbalimbali wakiwemo askari,wasanii,watu maarufu wanaotuhumiwa kujihusisha na aidha utumiaji au uuzaji wa madawa ya kulevya vyombo vya habari vya IPP ikiwemo gazeti la Nipashe na The Guardian yamekua kimya hayaripoti habari hiyo kabisa.
Baadhi ya waliotajwa na Makonda waliripoti kituo kikuu cha polisi Jana Oysterbay na magazeti karibia yote yameicover hyo habari tena front page lakini Nipashe na The Guardian wao habari hii tangu ianze pamoja na mwendelezo wake ni kama haiwahusu vile.
Najiuliza tu je wahariri wa Nipashe na The Guardian wameona hii habari haina mashiko kwa taifa au..!?
Au labda kuna maslahi yaliyojificha nyuma yake..!!?
Tujadili