Vyombo vya Dola vifuatilie kauli ya Mbasha kuhusu bangi inaweza kuwa siku ya Tamasha bangi ilikuwepo jukwaani

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
5,011
6,542
Kwa jinsi vita ya kupambana na bangi ilivyo ngumu kuna umuhimu vyombo husika kufuatiria matamasha mbalimbali ya wasanii kujua nini kinachofanyika,kwa tukio lile la tamasha la uzinduzi nyimbo za kuisifu CCM lazima bangi ilikuwa inapulizwa mle mle uwanjani na Mr. Polepole akisikilizia halufu lakini kwa kuwa lengo la wasanii ilikuwa kuisifia ccm hata maovu yao hayakutazamwa.
 
Kwani mbasha yupo Chadema?hivi ni vyombo vya ccm,unakosea heshima taifa letu kuviita eti ni vyombo vya Dolla
 
Kwa jinsi vita ya kupambana na bangi ilivyo ngumu kuna umuhimu vyombo husika kufuatiria matamasha mbalimbali ya wasanii kujua nini kinachofanyika,kwa tukio lile la tamasha la uzinduzi nyimbo za kuisifu ccm lazima bangi ilikuwa inapulizwa mle mle uwanjani na Mr Polepole akisikilizia halufu lakini kwa kuwa lengo la wasanii ilikuwa kuisifia ccm hata maovu yao hayakutazamwa.
Reaction ya Adam inaonyesha anavuta bangi kweli. Kwanini alikasirika namna ile?
 
Kwa jinsi vita ya kupambana na bangi ilivyo ngumu kuna umuhimu vyombo husika kufuatiria matamasha mbalimbali ya wasanii kujua nini kinachofanyika,kwa tukio lile la tamasha la uzinduzi nyimbo za kuisifu ccm lazima bangi ilikuwa inapulizwa mle mle uwanjani na Mr Polepole akisikilizia halufu lakini kwa kuwa lengo la wasanii ilikuwa kuisifia ccm hata maovu yao hayakutazamwa.
Rangi yenyewe migomba migombani inafanania m'mea..
 
Back
Top Bottom