Vyombo vya dola kuweni makini na Maalim Seif

LUKAZA

Senior Member
Nov 30, 2010
140
70
Vyombo vya Dola visipokuwa makini na kuziwacha kauli za uwongo kuendelea kutamkwa na viongozi bila ya kuchukuliwa hatua itafika wakati jamii itaamini kuwa kusema Uwongo kwa kiongozi ni sawabu na akisema wa chini ni dhambi kwani imezoweleka viongozi kuwahamasisha wadau kwa kusema uwongo

Kwa Mfano ktk mazungumzo hayo Malim Seif amesema yeye anafanya Siasa Msikitini kwa Kuwa hata Rais Magufuli Anakwenda msikitini na kufanya siasa Msikitini kitu ambacho hakijawahi kutokea na kama Malim au kuna Mdau amewahi kumuona Magufuli kenda msikitini na kufanya siasa basi aseme na kama uwongo basi MaalimSeif anapaswa kuchukuliwa hatua kali

Video: Maalim Seif akinguruma leo: Nia ya Nyerere ilikuwa ni kuifuta ZNZ. - Mzalendo.net
 
hakusema misikitini amesema kwenye Nyumba za Ibada, jamani mnatumiwa kama dekio? umbea na majungu ndio yanayotawala nchi hii, Je si kweli Rais Magufuli anafanya hivyo? alifuata nini kwa Mzeewa Upako? kwa Malasusa pale Azania, the list is endless, tunaweza kuwa wapumbavu, lakini walau kumbukumbu tunazo. Kama allivyokataza wanasiasa kufanyasiasa yeye yuko busy all over na swahiba wake Lipumba, hii nchi anaipeleka kule walikopeleka wakina Kagame, Kabila na Mfalme wa Morocco,
 
Mchochoze sana huyu mzee hata nchi za nje hawataki achukue nchi maana zenji patakuwa terrorist training camp kwa namna navyomjua
 
Seif amekalia kuti kavu! Magufuli aendelee kuwanyoosha tu, walizoea kila kitu matamko na mikwara awamu hii hata watoe matamko mia na zaidi hawafurukuti Magufuli kawaweka wapinzani kwenye chupa anawafanya atakavyo.
 
Vyombo vya Dola visipokuwa makini na kuziwacha kauli za uwongo kuendelea kutamkwa na viongozi bila ya kuchukuliwa hatua itafika wakati jamii itaamini kuwa kusema Uwongo kwa kiongozi ni sawabu na akisema wa chini ni dhambi kwani imezoweleka viongozi kuwahamasisha wadau kwa kusema uwongo

Kwa Mfano ktk mazungumzo hayo Malim Seif amesema yeye anafanya Siasa Msikitini kwa Kuwa hata Rais Magufuli Anakwenda msikitini na kufanya siasa Msikitini kitu ambacho hakijawahi kutokea na kama Malim au kuna Mdau amewahi kumuona Magufuli kenda msikitini na kufanya siasa basi aseme na kama uwongo basi MaalimSeif anapaswa kuchukuliwa hatua kali

Video: Maalim Seif akinguruma leo: Nia ya Nyerere ilikuwa ni kuifuta ZNZ. - Mzalendo.net
Umejiunga JF ili Magufuli akusikie na kukufikiria angalau uwe boyi?
 
Wacha Usukule wewe!!! Umeshasahau Pale Magu Alipokwenda Kuwahonga Futari BAKWATA kwenye Nyumba Yao Ya Ibada Halafu Yule Kiongozi Wao Akaahidiwa Na Makonda Atajengewa Ofisi Ya Kisasa Baadae BAKWATA ikaja na Ungese wa Kupinga UKUTA??
I'm Muslim but Nimezungumza Ninachokijua...

Mwenye Zile Picha Za Magu Na siasa Za Futari atupie Hapa....
 
Ameongea ukweli mtupu, shein alipora ushindi ndiyo maana kila anachoagizwa na Tanzania bara anakitekeleza bila kuhoji
 
Mchochoze sana huyu mzee hata nchi za nje hawataki achukue nchi maana zenji patakuwa terrorist training camp kwa namna navyomjua
Itawezekanaje wakati masuala ya ulinzi Yapo chini ya JMT
 
Vyombo vya Dola visipokuwa makini na kuziwacha kauli za uwongo kuendelea kutamkwa na viongozi bila ya kuchukuliwa hatua itafika wakati jamii itaamini kuwa kusema Uwongo kwa kiongozi ni sawabu na akisema wa chini ni dhambi kwani imezoweleka viongozi kuwahamasisha wadau kwa kusema uwongo

Kwa Mfano ktk mazungumzo hayo Malim Seif amesema yeye anafanya Siasa Msikitini kwa Kuwa hata Rais Magufuli Anakwenda msikitini na kufanya siasa Msikitini kitu ambacho hakijawahi kutokea na kama Malim au kuna Mdau amewahi kumuona Magufuli kenda msikitini na kufanya siasa basi aseme na kama uwongo basi MaalimSeif anapaswa kuchukuliwa hatua kali

Video: Maalim Seif akinguruma leo: Nia ya Nyerere ilikuwa ni kuifuta ZNZ. - Mzalendo.net
Mchochezi umetoka kisiwa ndui
 
hakusema misikitini amesema kwenye Nyumba za Ibada, jamani mnatumiwa kama dekio? umbea na majungu ndio yanayotawala nchi hii, Je si kweli Rais Magufuli anafanya hivyo? alifuata nini kwa Mzeewa Upako? kwa Malasusa pale Azania, the list is endless, tunaweza kuwa wapumbavu, lakini walau kumbukumbu tunazo. Kama allivyokataza wanasiasa kufanyasiasa yeye yuko busy all over na swahiba wake Lipumba, hii nchi anaipeleka kule walikopeleka wakina Kagame, Kabila na Mfalme wa Morocco,
1477819896009.jpg
 
Ni muhimu viongozi wote wa kisiasa wafanye siasa zisizohusisha dini, wengi wameingia wasiwasi, wanatafuta uhalali kupitia dini mbali mbali badala ya taratibu halali za kisheria kama mikutano ya hadhara.
Viongozi wa serikali na hata wale wa vyama vya siasa wanatakiwa wasijihusishe moja kwa moja na mambo ya dini, washiriki ibada tu kama waumini wengine.
Kueneza dini waachiwe viongozi wa dini, wanasiasa wapande kwenye majukwaa ya siasa, waache kuzunguka kwenye misikiti na makanisa.
 
Back
Top Bottom