Vyombo Vya Dola Hovyo!!!

Oct 5, 2007
74
1
Tuungane kuikataa POLISI ya Tz kwanini hawachukui hatua kwa watu wote na kubagua aina na makundi ya watu?

nani hajui kuwa yule mbunge KIMEO wa jimbo la Buchosa alifoji vyeti na hili likathibitishwa na polisi kuwa ni kweli vyeti vyake ni vya kufoji na kutoa hati hiyo?

sasa naomba, kujua kwanini polisi haijamkamata huyu mbunge na kushtakiwa kwa mujibu wa sheria za makosa ya kughushi?

cha ajabu hata alipofunguliwa mashtaka huko mahakamani mwanza, hakimu amefutilia mbali kesi hiyo je tutaacha kila kitu kiwe hivi?

rais kikwete alipokuwa ziarani alisema wapinzani wanamuonea wivu hii ni kauli ya kiongozi wa nchi kweli?

kwanini wanasheria wasiungane kumshitaki huyu?
 
eti ukiwa ccm sheria ipo chini yako,ndo maana muuaji Ditto leo hii
yupo nje anatesa,....hiyo ndo bongo nchi maskini kabisa duniani,tatu kutoka mkiani.
 
eti ukiwa ccm sheria ipo chini yako,ndo maana muuaji Ditto leo hii
yupo nje anatesa
,....hiyo ndo bongo nchi maskini kabisa duniani,tatu kutoka mkiani.

Na anakwenda mbali zaidi kuwaambia wananchi kuwa wakawaamabie wake zo wakalale! Tusi gani hili kwa wananchi wa Tabora?
 
...hakuna serikali pale ni wahuni tuu na wababishaji watupu wamejaa ili kujaza matumbo yao
 
ccm haina lolote kiama kinakuja 2010 wamezidi kutetea mafisadi, kwao muuaji ni mtu safi kwa chama chao. ila nafikiri hata mbinguni wana adhabu ya kujibu siku watakapofika huko
 
Back
Top Bottom