Vyombo vya dola endeleeni kuwa macho. Kuna baadhi ya watanzania wenzetu wamedhamiria kuiingiza Nchi katika machafuko ya kisiasa

jitombashisho

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
667
2,242
Ukiangalia miendo ya wana siasa hasa kipindi hiki ni wazi kuna hali ya sintofahamu ya wazi kabisa juu ya mustakabali wa Taifa letu. Wengi wao wamejiaanda na waziwazi kutaka machafuko yatokee endapo tu ushindi hautakuwa upande wao. Jambo la hatari sana!

Kwa viashiria hivyo, naviasa vyombo vya dola viwe macho hasa muda huu na visikubali mwana siasa yeyote kuiingiza Nchi yetu katika hali isiyozoelewa hapo awali na ni wajibu wa ninyi walinda usalama kusimama kidete na bila kumuonea hiana mfanya siasa yeyote yule ataye sababisha jambo hilo.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Ukiangalia miendo ya wana siasa hasa kipindi hiki ni wazi kuna hali ya sintofahamu ya wazi kabisa juu ya mustakabali wa Taifa letu.Wengi wao wamejiaanda na waziwazi kutaka machafuko yatokee endapo tu ushindi hautakuwa upande wao.Jambo la hatari sana!

Kwa viashiria hivyo,naviasa vyombo vya dola viwe macho hasa muda huu na visikubali mwana siasa yeyote kuiingiza Nchi yetu katika hali isiyozoelewa hapo awali na ni wajibu wa ninyi walinda usalama kusimama kidete na bila kumuonea hiana mfanya siasa yeyote yule ataye sababisha jambo hilo.

Mungu ibariki Tanzania.
Ni aibu mwanaume kulialia si karipot polisi kama una ushahidi kuliko kuleta jf?
 
Kila uchaguzi huwa yanasemwa hayo. Hiki sio chama cha kuzikana mkuu ni NCHI yenye serikali THABITI. Mwenye huo ubavu hayupo na kama uliwaona waambie wajaribu walete mrejesho. Wote tunapenda amani na tunaijua thamani yake. Wanaotamani machafuko pia watafikiriwa namna ya kupewa haki yao bila kuathiri haki ya wengi tunaopenda amani.
 
Ukiangalia miendo ya wana siasa hasa kipindi hiki ni wazi kuna hali ya sintofahamu ya wazi kabisa juu ya mustakabali wa Taifa letu.Wengi wao wamejiaanda na waziwazi kutaka machafuko yatokee endapo tu ushindi hautakuwa upande wao.Jambo la hatari sana!

Kwa viashiria hivyo,naviasa vyombo vya dola viwe macho hasa muda huu na visikubali mwana siasa yeyote kuiingiza Nchi yetu katika hali isiyozoelewa hapo awali na ni wajibu wa ninyi walinda usalama kusimama kidete na bila kumuonea hiana mfanya siasa yeyote yule ataye sababisha jambo hilo.

Mungu ibariki Tanzania.
Hakuna wa kuleta vurugu hapa.Vyama vyote vya upinzani vina watu wetu na kila walipangalo linajulikana hata kabla wino kukauka.CCM itashinda na watakaoleta hata dalili ya kukaidi wanaweza kukosa hata uhai.Nasoma sana kuhusu torture na nisingeomba yanikute nikiwa hai na ningeomba wananchi wenzangu hata kama umedhulumiwa usishindane na dola hasa kipindi hiki.Uchaguzi serikali za mitaa umepita na CCM imeshinda kwa asilimia kubwa na maisha yanaendelea na October yatatokea hayo na maisha yataendelea.Sisi si watu wa vurugu na tuendelee hivyo hivyo.
 
Kila uchaguzi huwa yanasemwa hayo. Hiki sio chama cha kuzikana mkuu ni NCHI yenye serikali THABITI. Mwenye huo ubavu hayupo na kama uliwaona waambie wajaribu walete mrejesho. Wote tunapenda amani na tunaijua thamani yake. Wanaotamani machafuko pia watafikiriwa namna ya kupewa haki yao bila kuathiri haki ya wengi tunaopenda amani.
Amina
 
Hakika,amani yetu italindwa kwa gharama yeyote ile.
kuvuruga amani ni rahisi ila kuirejesha amani ni kazi.

Amani huku mkipora ushindi wa wengine? Kwenye nchi za kiafrika bila machafuko amani na heshima huwa havipatikani.
 
Back
Top Bottom