BUBERWA D.
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 2,293
- 1,170
Usimpangie cha kuleta jfNi aibu mwanaume kulialia si karipot polisi kama una ushahidi kuliko kuleta jf?
Usimpangie cha kuleta jfNi aibu mwanaume kulialia si karipot polisi kama una ushahidi kuliko kuleta jf?
Watapata mpapaso wa haja, watafurahi mbona...!
Mada yako imekaa kijumla jumla mno.Ukiangalia miendo ya wana siasa hasa kipindi hiki ni wazi kuna hali ya sintofahamu ya wazi kabisa juu ya mustakabali wa Taifa letu.Wengi wao wamejiaanda na waziwazi kutaka machafuko yatokee endapo tu ushindi hautakuwa upande wao.Jambo la hatari sana!
Kwa viashiria hivyo,naviasa vyombo vya dola viwe macho hasa muda huu na visikubali mwana siasa yeyote kuiingiza Nchi yetu katika hali isiyozoelewa hapo awali na ni wajibu wa ninyi walinda usalama kusimama kidete na bila kumuonea hiana mfanya siasa yeyote yule ataye sababisha jambo hilo.
Mungu ibariki Tanzania.
Ukiangalia miendo ya wana siasa hasa kipindi hiki ni wazi kuna hali ya sintofahamu ya wazi kabisa juu ya mustakabali wa Taifa letu.Wengi wao wamejiaanda na waziwazi kutaka machafuko yatokee endapo tu ushindi hautakuwa upande wao.Jambo la hatari sana!

Mmh! Ya kweli haya? Hebu tuambie Chadema wanapanga nn?kila walipangalo linajulikana hata kabla wino kukauka
Hakuna wa kuleta vurugu hapa.Vyama vyote vya upinzani vina watu wetu na kila walipangalo linajulikana hata kabla wino kukauka.CCM itashinda na watakaoleta hata dalili ya kukaidi wanaweza kukosa hata uhai.Nasoma sana kuhusu torture na nisingeomba yanikute nikiwa hai na ningeomba wananchi wenzangu hata kama umedhulumiwa usishindane na dola hasa kipindi hiki.Uchaguzi serikali za mitaa umepita na CCM imeshinda kwa asilimia kubwa na maisha yanaendelea na October yatatokea hayo na maisha yataendelea.Sisi si watu wa vurugu na tuendelee hivyo hivyo.
Kama uchaguzi ulinajisiwa kipi kilitokea?Watanznaia ni watu ambao hawataki kujisumbua na kuingia katika misukosuko.Kitakachotokea ni kuwa wapiga kura watakuwa wachache,vyombo vya dola vitajitokeza kwa nguvu na ku display mighty yao.Nani wa kutoka??Hivi unatarajia watu wataendelea kuwa wajinga na waoga muda wote. Uchaguzi wa sm ccm haikushinda Bali ilinajisi uchaguzi. Kama mnatarajia kila siku ni Ijumaa basi kaeni vizuri.
...heri yako!Mada yako imekaa kijumla jumla mno.
Mada nzito kama hii halafu unaifanyia utani kama huu unataka watu wajadili nini.
Unayo mifano ya wanasiasa hao, na unaelewa kwa nini wanafikiria kufanya hivyo kama ni kweli? Wao wameamua tu kupanga maovu bila ya sababu zozote? Mbona huelezi.
Hivyo vyombo vya ulinzi unavyovihimiza, una hakika haviegemei upande mmoja wa siasa?
Naona huna uwezo wa kuanzisha mada nzito kama hii na kuisimamia ijadiliwe kwa umakini unaostahiri.
Unayo midomo mingapi.Kila uchaguzi huwa yanasemwa hayo. Hiki sio chama cha kuzikana mkuu ni NCHI yenye serikali THABITI. Mwenye huo ubavu hayupo na kama uliwaona waambie wajaribu walete mrejesho. Wote tunapenda amani na tunaijua thamani yake. Wanaotamani machafuko pia watafikiriwa namna ya kupewa haki yao bila kuathiri haki ya wengi tunaopenda amani.
Slaa alikuwa katibu Mkuu leo yupo wapi?Mashinji alikuwa katibu mkuu leo yuko wapi?Lowassa na Sumaye waliingia moja kwa moja kamati kuu ya Chadema na leo wako wapi?Je ni masharti gani ambayo walipewa kabla ya kurudishiwa kadi zao?Mmh! Ya kweli haya? Hebu tuambie Chadema wanapanga nn?
Inashawishi sana kuamini uliyoweka hapa, lakini CHADEMA watakuwa hawana akili kichwani kuendelea na mipango iliyokwishabuma?Slaa alikuwa katibu Mkuu leo yupo wapi?Mashinji alikuwa katibu mkuu leo yuko wapi?Lowassa na Sumaye waliingia moja kwa moja kamati kuu ya Chadema na leo wako wapi?Je ni masharti gani ambayo walipewa kabla ya kurudishiwa kadi zao?
Tungemuwa na wanausalama Kwanza wangehakikisha nchi inakuwa na tume huru ya uchaguzi Ila hawa wachumia tumbo tutolee hapaUkiangalia miendo ya wana siasa hasa kipindi hiki ni wazi kuna hali ya sintofahamu ya wazi kabisa juu ya mustakabali wa Taifa letu.Wengi wao wamejiaanda na waziwazi kutaka machafuko yatokee endapo tu ushindi hautakuwa upande wao.Jambo la hatari sana!
Kwa viashiria hivyo,naviasa vyombo vya dola viwe macho hasa muda huu na visikubali mwana siasa yeyote kuiingiza Nchi yetu katika hali isiyozoelewa hapo awali na ni wajibu wa ninyi walinda usalama kusimama kidete na bila kumuonea hiana mfanya siasa yeyote yule ataye sababisha jambo hilo.
Mungu ibariki Tanzania.
Kama uchaguzi ulinajisiwa kipi kilitokea?Watanznaia ni watu ambao hawataki kujisumbua na kuingia katika misukosuko.Kitakachotokea ni kuwa wapiga kura watakuwa wachache,vyombo vya dola vitajitokeza kwa nguvu na ku display mighty yao.Nani wa kutoka??
Aliyezoea kutesa wengine inaweza kuwa zamu yake ya kuteshwa pia? Unadhani hao watesaji wa Tanzania ni special sana?Hakuna wa kuleta vurugu hapa.Vyama vyote vya upinzani vina watu wetu na kila walipangalo linajulikana hata kabla wino kukauka.CCM itashinda na watakaoleta hata dalili ya kukaidi wanaweza kukosa hata uhai.Nasoma sana kuhusu torture na nisingeomba yanikute nikiwa hai na ningeomba wananchi wenzangu hata kama umedhulumiwa usishindane na dola hasa kipindi hiki.Uchaguzi serikali za mitaa umepita na CCM imeshinda kwa asilimia kubwa na maisha yanaendelea na October yatatokea hayo na maisha yataendelea.Sisi si watu wa vurugu na tuendelee hivyo hivyo.
Mkuu unataka kusema APM yupo huko Kyolo kijijini kwake kwa kuwa hakuwa na serikali imara?Kila uchaguzi huwa yanasemwa hayo. Hiki sio chama cha kuzikana mkuu ni NCHI yenye serikali THABITI. Mwenye huo ubavu hayupo na kama uliwaona waambie wajaribu walete mrejesho. Wote tunapenda amani na tunaijua thamani yake. Wanaotamani machafuko pia watafikiriwa namna ya kupewa haki yao bila kuathiri haki ya wengi tunaopenda amani.
Ukiangalia miendo ya wana siasa hasa kipindi hiki ni wazi kuna hali ya sintofahamu ya wazi kabisa juu ya mustakabali wa Taifa letu.Wengi wao wamejiaanda na waziwazi kutaka machafuko yatokee endapo tu ushindi hautakuwa upande wao.Jambo la hatari sana!
Kwa viashiria hivyo,naviasa vyombo vya dola viwe macho hasa muda huu na visikubali mwana siasa yeyote kuiingiza Nchi yetu katika hali isiyozoelewa hapo awali na ni wajibu wa ninyi walinda usalama kusimama kidete na bila kumuonea hiana mfanya siasa yeyote yule ataye sababisha jambo hilo.
Mungu ibariki Tanzania.
Ccm wametangaza hadharani na kifichoni kuwa wako tayari kuua kupiga wapinzani,Hao polisi wanawaangalia tuUkiangalia miendo ya wana siasa hasa kipindi hiki ni wazi kuna hali ya sintofahamu ya wazi kabisa juu ya mustakabali wa Taifa letu.Wengi wao wamejiaanda na waziwazi kutaka machafuko yatokee endapo tu ushindi hautakuwa upande wao.Jambo la hatari sana!
Kwa viashiria hivyo,naviasa vyombo vya dola viwe macho hasa muda huu na visikubali mwana siasa yeyote kuiingiza Nchi yetu katika hali isiyozoelewa hapo awali na ni wajibu wa ninyi walinda usalama kusimama kidete na bila kumuonea hiana mfanya siasa yeyote yule ataye sababisha jambo hilo.
Mungu ibariki Tanzania.
Mimi ni miongoni mwa watu waliochokaSi uchoke tuone, watu gani walochoka unaowasemea? wewe na mmeo?
Wanaomba usiku na mchana watu wengi wasijitokeze kupiga kura. Hilo linawapa ushindi wa moja kwa moja. Unapoona vitisho vya aina hii, lengo ndilo hilo. Wapiga kura wasiende kupiga kura. Hao wachache wa CCM watakaokuwa wamejitokeza tayari ni ushindi kwao.Unataka kusema inatakiwa wapiga kura wachache ili kusiwe na fujo? Subiri uone kama kila siku ni Ijumaa.