BUBERWA D.
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 2,293
- 1,170
Akili ndogo ni mzigo. Sasa hapo umenipangia cha kuandika au unaropoka tuu kupunguza stress?Hata wewe nakupangia na kukwambia " una mashetani"
Akili ndogo ni mzigo. Sasa hapo umenipangia cha kuandika au unaropoka tuu kupunguza stress?Hata wewe nakupangia na kukwambia " una mashetani"
Yani wewe jitomba ujue habar nyeti hizo halafu wenye kazi yao wasijue,hatar sanaUkiangalia miendo ya wana siasa hasa kipindi hiki ni wazi kuna hali ya sintofahamu ya wazi kabisa juu ya mustakabali wa Taifa letu. Wengi wao wamejiaanda na waziwazi kutaka machafuko yatokee endapo tu ushindi hautakuwa upande wao. Jambo la hatari sana!
Kwa viashiria hivyo, naviasa vyombo vya dola viwe macho hasa muda huu na visikubali mwana siasa yeyote kuiingiza Nchi yetu katika hali isiyozoelewa hapo awali na ni wajibu wa ninyi walinda usalama kusimama kidete na bila kumuonea hiana mfanya siasa yeyote yule ataye sababisha jambo hilo.
Mungu ibariki Tanzania.
Unamaanisha CCM?Ni kawaida ya walioko madarakani kulazimisha mambo hata pale inapoonekana kushindwa, kumwangusha aliyoko madarakani sio kazi nyepesi na ni lazima atafanya kila hila ili kuhakikisha nchi inavurugika.