Vyombo vizuri vya wageni tu

Aisee kweli kabisa lakini suluhisho kubwa hama hapo kwa mjomba wako kapange getho kisha nunua vya dongo very simple mkuu
 
Familia Nyingi Ndivyo Zilivyo Mi Natumia Dongo Kioo Kila Cku Nawasema Hizi Familia Zenye Tabia Hii Nili Kwenda Mwanza Kwa Rafk Yangu Nikaletewa Dongo Na Kioo Wanae Wamepewa Kwnye Plastic Mpaka Naondoka Noma Jaman Hata Humu Jf Wapo Wenye Tabia Hiyo
 
Wenye tabia hizoo njooni

Mi huwa nasikia ukimpa mtoto bakuli/sahani ya udongo atapasua hahaaa au ateungua
 
Back
Top Bottom