Vyeti vya kidato cha nne vimepotelea chuoni St. Aggrrey Mbeya

optimist

JF-Expert Member
Sep 13, 2009
281
98
Wakuu wana jukwaa nimesikia mahojiano kati ya mwanafunzi mhitimu wa chuo hicho cha sayansi ya afya ST. AGGREY na radio moja jijini Mbeya anadai kuwa ni mwaka wa tatu mpaka sasa wana dai vyeti vyao original walivokusanya wakati wanaanza chuo lakini wanapewa majibu mepesi wameshajaribu kufuatilia wizarani wizara i.edai haikupokea vyeti,
Sasa swali la kujiuliza;
1/ kwa nini uongozi wa chuo umekuwa na kigugumizi juu ya suala hili?


2:/ Kama kweli vimepotea vimepoteaje vyeti vyote vya wanafunzi 120

Kama kweli chuo hiki kimefanya uzembe na kupoteza vyeti vya wanafuzi hao hakifai kuwa na dhamana ya kielimu kwa kuona hilo ni ujanja ujanja tu unaofanyika hapo.

Nawatakia kazi njema na ujenzi wa taifa
vyuma vimekaza

Mwisho nawatakia kazi njema
 
Hili swala haliwezekana....hii nchi bila vyet utaonekana kilaza tuu....ichoo chuo kiwe makin aiseee...
 
mkuu mm pia nimesikia hbr hiyo radio big star FM
nimesoma ktk taasisi hizo mkuu kwakweli wana uzembe enz nikisoma vyuo vyao walikuwa wanatubambikizia maden sana
 
Back
Top Bottom