Vyeti vya degree vya fungiwa maandazi

Jun 18, 2012
58
5
Hapo mwanzo m2 mwenye degree alikua hadimu sana mtaani na ukisikia m2 anadegree unamuogopa but now dayz kimekua ni ki2 cha kawaida sana mtaani tena ndo vijana wanao ongoza kwa ufukara na vizinga YANI wanaomba mbaka tsh100/= hukuwakijipa moyo kwamba ONE DAY YES_na vyeti vyao vikiendelea kuliwa na panya..
 
mkuu nini chanzo cha uzi huu mbona kama umeandika kama kutusimanga sisi tunaomba nauli kwenu matajiri!!
 
wewe hyo degree yako imekusaidia nn? ama huna! au wivu,kama umeelimika toa suruhusho la vyeti kutoliwa na kufungiwa.!!
 
Hapo mwanzo m2 mwenye degree alikua hadimu sana mtaani na ukisikia m2 anadegree unamuogopa but now dayz kimekua ni ki2 cha kawaida sana mtaani tena ndo vijana wanao ongoza kwa ufukara na vizinga YANI wanaomba mbaka tsh100/= hukuwakijipa moyo kwamba ONE DAY YES_na vyeti vyao vikiendelea kuliwa na panya..

Nimejua kinachokusumbua, hii umetumia kama defence mechanism. Wajanja hutumia kujiliwaza; hawatumii hadharani kwa kuwa inadhalilisha heshima ya mtu, hususani anayejiita Great Thinker.
 
Hapo mwanzo m2 mwenye degree alikua hadimu sana mtaani na ukisikia m2 anadegree unamuogopa but now dayz kimekua ni ki2 cha kawaida sana mtaani tena ndo vijana wanao ongoza kwa ufukara na vizinga YANI wanaomba mbaka tsh100/= hukuwakijipa moyo kwamba ONE DAY YES_na vyeti vyao vikiendelea kuliwa na panya..

True said!takwimu za wazi zinaonesha kwamba,wasomi wengi ni mafukara au wana maisha ya kawaida sana,kutokana na dhana ya kupenda kuajiliwa au kupewa kazi kutokana na taaluma zao, WASOMI NI WATUMWA WA TAALUMA ZAO
 
Hata mimi sijakataa ila jinsi ya alivyopresent mada ndio tatizo ni kama vile anasumanga....
 
Frankly speaking, this is your defensivemechanism but it is ill-timed. I also had such sentiments five years ago ilanilipoamua kwenda kusoma, nimeona ilivyonisaidia na ndio maana nilipomaliza tunikaamua kuunganisha na degree yapili. Uzi wako hauna msingi na naamini hayupohata graduate mmoja, ambaye si ndugu yako, aliyekuja kukuomba hiyo nauli ya100/- unayodai. Chansingi wewe nenda kasome ili uondoe abhorrence uliyonayomoyoni mwako dhidi ya waliosoma kiasi chakuwabunia uzi usiyo na kichwa walamgu. Binafsi, naona uko sahihi kwani uzi huu unaonyesha kiwango chako chaelimu. Uzi wako umekusaidia sana kutangaza upumba...wako. Kwa kila mmojaanayetoka familia maskini, mwamzo huwa ni mgumu so ni kawaida kwa mtu yeyote(awe graduate au Standard 7 kama focus ngajimala) kuomba nauli anapokwendakutafuta kazi. Siyo ishu yakujadiri na kama umewachoka, si ungewaambia tu haondugu zako wanaokuomba kuliko ku-post hapa na wakati ni dhihiri waliokuomba ninudgu zako lakini kumbe umekua ukiwapatia huku moyoni unakinyongo kwasababuwamekupita elimu. Nenda tu ukasome jamani. Utakuwa huru na hayo mawazoyakishetani yataondokoa kichwani mwako.

Hapo mwanzo m2 mwenye degree alikua hadimu sana mtaani na ukisikia m2 anadegree unamuogopa but now dayz kimekua ni ki2 cha kawaida sana mtaani tena ndo vijana wanao ongoza kwa ufukara na vizinga YANI wanaomba mbaka tsh100/= hukuwakijipa moyo kwamba ONE DAY YES_na vyeti vyao vikiendelea kuliwa na panya..
 
Hapo mwanzo m2 mwenye degree alikua hadimu sana mtaani na ukisikia m2 anadegree unamuogopa but now dayz kimekua ni ki2 cha kawaida sana mtaani tena ndo vijana wanao ongoza kwa ufukara na vizinga YANI wanaomba mbaka tsh100/= hukuwakijipa moyo kwamba ONE DAY YES_na vyeti vyao vikiendelea kuliwa na panya..

Nina wasi wasi na elimu/uelewa wako....
nini maana ya huu uzi wako?
 
Hapo mwanzo m2 mwenye degree alikua hadimu sana mtaani na ukisikia m2 anadegree unamuogopa but now dayz kimekua ni ki2 cha kawaida sana mtaani tena ndo vijana wanao ongoza kwa ufukara na vizinga YANI wanaomba mbaka tsh100/= hukuwakijipa moyo kwamba ONE DAY YES_na vyeti vyao vikiendelea kuliwa na panya..

acha kuzingua na kupotezea watu muda wa kusoma huu uzi wako
 
Mtoa uzi kama kweli huithamini elimu ama degree na kama kusoma kwako ni kupoteza muda..kama una watoto ama ukija kua nao usiwapeleke shule na kama wakienda waishie la saba.
usifikiri kwa kua wewe umefanikiwa bila elimu na kwa mwanao itakuja hivyohivyo.
kua makini na uadikacho humu na kama kweli ndo mtizamo ulio nao....BADILIKA...hao unao waona ombaomba kwako kwa kua unawasaidia nauli...unaweza shangaa ndani ya mwaka tu mambo yakiwaendea vizuri wanakupita kama umesimama vile.
 
Hapo mwanzo m2 mwenye degree alikua hadimu sana mtaani na ukisikia m2 anadegree unamuogopa but now dayz kimekua ni ki2 cha kawaida sana mtaani tena ndo vijana wanao ongoza kwa ufukara na vizinga YANI wanaomba mbaka tsh100/= hukuwakijipa moyo kwamba ONE DAY YES_na vyeti vyao vikiendelea kuliwa na panya..

pole sana nimegundua wewe kumbe elimu huna, umebaki kujipa moyo kwamba hakuna faida ya kusoma, Generally ni kwamba elimu ya mtu haipimwi kwa utajiri wa pesa na mali, bali ni mtu mwenye utajiri wa mawazo na fikra chanya, nimegundua kwa haya mawazo yako una andaa genge la wajinga na wapumbavu kwenye familia yako. "brain is wider than sky"
 
Hapo mwanzo m2 mwenye degree alikua hadimu sana mtaani na ukisikia m2 anadegree unamuogopa but now dayz kimekua ni ki2 cha kawaida sana mtaani tena ndo vijana wanao ongoza kwa ufukara na vizinga YANI wanaomba mbaka tsh100/= hukuwakijipa moyo kwamba ONE DAY YES_na vyeti vyao vikiendelea kuliwa na panya..

vinaliwa na Panya?
 
Back
Top Bottom