Vyeti feki - Bandari haijaguswa

Watanzania wengi wanajua kusoma kiujanja janja mpaka akina January makamba kigwangala na wenzao wengi ni wasomi wa kijanja janja vyeti feki ni Sumu ya Taifa hadi kwenye mabenk wapo wenye vyeti feki kibao kwa kifupi Tanzania 60% ya wanaojiita wasomi wengi wana vyeti feki na hata akiwa na vyeti Olijino anaweza asiwe na Taaluma olijino kichwani kwani wengi huiba mitihani ama kukariri ili wafaulu mitihani wapate vyeti pasipo kujali kupata Taaluma sahihi.
 
Mkulu alilia sana na bandari mbona kawaacha?! Mkuu kuna genge linampa ushauri mbovu! Tusubiri tuone mwisho wa hili zoezi. Ni shida sana
Bandari yote imejaa Uozo vyeti feki ni vya kumwaga lakini wengi ni ndugu zake mwakyembe na Bashite ndiyo maana zoezi likakwepeshwa kuna umuhimi wa waziri kairuki ajiuzulu kwa kukwepesha kwepesha hilo zoezi na pia kumpakata Daud Albert bashite
 
Kumbe kuna wengine wao ni "maalum"

Kama ni kweli basi Ule msemo wa binadamu wote ni sawa upitiwe upya

Hujuwi kuwa ma-house girls ni muhimu kwa baadhi ya watu....ndiyo maana wanaitwa beki tatu. Jamaa anachapa na kupachika mimba kisha anampa demu kazi ya maana ili aweze kujimudu na kumtunza mtoto wa kigogo.
 
Watanzania wengi wanajua kusoma kiujanja janja mpaka akina January makamba kigwangala na wenzao wengi ni wasomi wa kijanja janja vyeti feki ni Sumu ya Taifa hadi kwenye mabenk wapo wenye vyeti feki kibao kwa kifupi Tanzania 60% ya wanaojiita wasomi wengi wana vyeti feki na hata akiwa na vyeti Olijino anaweza asiwe na Taaluma olijino kichwani kwani wengi huiba mitihani ama kukariri ili wafaulu mitihani wapate vyeti pasipo kujali kupata Taaluma sahihi.

Inawezekana kuwa ni kweli hii hoja yako....inawezekanaje mtu kasoma mpaka ana Phd au Masters ila hajuwi hata kuji-express mbele ya wasomi wenziwe?
 
Mafao waliyoyapata kwa kutumia ujuzi bandia?
Kiongozi haujui kitu,Wengi hawana vyeti vya form four tu ila ujuzi wanao,kuna wengine wamesomea kabisa fani zao na wana vyeti vya vyuo,kilichowakwamisha ni cheti cha form four tu,ndio maana kuna wengine walikuwa wafanyakazi bora mwaka huu.
 
karibu taasisi nyingi zimeguswa sema wamendika DAR ES SALAAM hawajaandika jina la taasisi kwahyo hata bandari wapo sema wamendika DAR ES SALAAM
Acha kupotosha usichokijua, mwajiri wa bandari anaitwa Dsm?
Bandarini hawajaguswa full stop, uwe unaongea unayoyajua tu.
 
Watanzania wengi wanajua kusoma kiujanja janja mpaka akina January makamba kigwangala na wenzao wengi ni wasomi wa kijanja janja vyeti feki ni Sumu ya Taifa hadi kwenye mabenk wapo wenye vyeti feki kibao kwa kifupi Tanzania 60% ya wanaojiita wasomi wengi wana vyeti feki na hata akiwa na vyeti Olijino anaweza asiwe na Taaluma olijino kichwani kwani wengi huiba mitihani ama kukariri ili wafaulu mitihani wapate vyeti pasipo kujali kupata Taaluma sahihi.
Unawezaje kufaulu bila kukariri acheni kujitoa akili kuelewa kunaanza na kukariri kwanza.
Elimu gani Tanzania ya bila kukariri hata sayansi tunakariri formula.
 
Hili ndilo eneo ambalo wazazi huwarithisha kazi watoto wao , kwahiyo kuna uvunjifu mkubwa sana wa maadili ya ajira .

Ziko taarifa kwamba kuna kigogo mmoja amewaajiri House girls wake zaidi ya 10 , katika kipindi tofauti na kwamba hawakuwa hata na kigezo kimoja , shukrani ni kwamba sakata hili halijapita huko kwa kile kinachoitwa sababu maalum .

Tutaendelea kujuzana wote walioachwa na mustakabali wa sakata hili .

Tuendelee kuwemo humuhumu JF .

Mungu ibariki Tanzania .
MBONA HUJAULIZIA NA GESHI LETU? HUKO NASKIA NI BALAAA.. KARIBIA NUSU NI FAA FAA FAA.. JE WAKIMWAGWA MITAANI HAWA FEKI WATAJIHUSISHA NA KAZI GANI? HEBU WEKA PICHA MBELE UFANYE KAMA UNAWAONA HAWA JAMA WAKO MTAANI WANAPIGA KAZI YAO ILEEE... HALI ITAKUWAJE? JE HIKI NDIO KILICHOMFANYA BWA. POMBE ASIWAGUSE??
 
Dr wa Maganda ya korosho atailipa hii gharama ya waliofukuzwa,familia elfu 10 zote zinakuona wewe mbaya,hatakaa salama,aangalie upya kuwalipa mafao yao ya hifadhi japo kupunguza machungu.
Na nyie watu wa ajabu mtu mdanganyifu anapaswa kulipwa au kupelekwa jela
 
Dr wa Maganda ya korosho atailipa hii gharama ya waliofukuzwa,familia elfu 10 zote zinakuona wewe mbaya,hatakaa salama,aangalie upya kuwalipa mafao yao ya hifadhi japo kupunguza machungu.
Unasahau kuwa kuna familia 10000 ambazo zitakuwa zinamuombea kila ijumaa na jumapili kwa kuzitendea haki. Kwa kuhakikisha kuwa elimu walioisotea vyuoni hatimaye inakuja kutoa mchango katika maendeleo ya Tanzania.
 
Acha kupotosha usichokijua, mwajiri wa bandari anaitwa Dsm?
Bandarini hawajaguswa full stop, uwe unaongea unayoyajua tu.
bro mimi huwa siongei kitu kama sina uhakika nakwambia hvyo mim mwenyew tasisi yangu tuko na matawi mikoani ila wamepatikana zaaidi ya 15 ila hawakuandikwa kwa jina la taasisi ila wameandika DAR ES SALAAM ata wa mikoani ukitaka njoo private
 
MBONA HUJAULIZIA NA GESHI LETU? HUKO NASKIA NI BALAAA.. KARIBIA NUSU NI FAA FAA FAA.. JE WAKIMWAGWA MITAANI HAWA FEKI WATAJIHUSISHA NA KAZI GANI? HEBU WEKA PICHA MBELE UFANYE KAMA UNAWAONA HAWA JAMA WAKO MTAANI WANAPIGA KAZI YAO ILEEE... HALI ITAKUWAJE? JE HIKI NDIO KILICHOMFANYA BWA. POMBE ASIWAGUSE??
Naogopa kutekwa .
 
Mkuu huo usemi au kaulimbiu eti "binadamu wote ni sawa" ni wa kujiliwaza tu!
Hakuna kitu kama hicho hapa duniani...
Ni kweli Mkuu, yaani kutoka kule Kintinku, awe sawa na Donald Trump !!!! Kuna msemo katika lugha ya Malkia ingawa sijui tafsiri yake kwa lugha ya Wazaramo.....All human are equal but not the same.......
 
Nimechukua hiyo mkuu .
 
Back
Top Bottom