Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,658
- 239,132
Hili ndilo eneo ambalo wazazi huwarithisha kazi watoto wao , kwahiyo kuna uvunjifu mkubwa sana wa maadili ya ajira .
Ziko taarifa kwamba kuna kigogo mmoja amewaajiri House girls wake zaidi ya 10 , katika kipindi tofauti na kwamba hawakuwa hata na kigezo kimoja , shukrani ni kwamba sakata hili halijapita huko kwa kile kinachoitwa sababu maalum .
Tutaendelea kujuzana wote walioachwa na mustakabali wa sakata hili .
Tuendelee kuwemo humuhumu JF .
Mungu ibariki Tanzania .