robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 740
- 1,214
Nasikia kuna wabunge wanawatetea wenye vyeti feki, binafsi naomba serikali iongeze ukaguzi wa vyeti feki vya digrii serikalini. Utendaji mbovu unaojadiliwa baada ya Assad kuzungumzia uzoefu wake akiwa CAG, yawezekana ni matokeo ya watu hawa.
Tunao watu wengi na hasa wale waliijaribu elimu ya chuo kikuu na kushindwa kumaliza masomo yao, zipo taarifa kwamba mni wengi waliochomga vyeti feki na wengine sasa wana digrii ya pili.
Rais Samia, ongeza hili. Mwenzako alianza na form 4, wewe nenda mbali zaidi, ongeza vyeti feki vya digrii.