Vyama Who Cares...... Lets Talk Sera


VoiceOfReason

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
5,234
Likes
59
Points
0
VoiceOfReason

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
5,234 59 0
Haya mambo ya mimi CCM, CUF au Whatever might come later hayamsaidii Mtanzania.... What we need is mfumo mpya (What Chadema is fighting for) ili kuhakikisha kwamba yeyote atakayekuwa hapo juu hata tumia madaraka yake, kutunyonya.....

We need kupunguza matumizi as you all know nchi yetu ni masikini, we need transparency ili tujue ni nini kinafanyika wapi na viongozi wetu wananufaika vipi.

So without getting blinded by Chama naomba wadau mniambia nani anahitaji kutuongoza kutokana na sera zinazoeleweka.. (Baada ya kupitia Ilani za vyama tofauti naona Chadema ndio wanayo bora).... Nipo tayari kusahihishwa kama kuna Ilani bora kuliko ya Chadema
 

Forum statistics

Threads 1,237,587
Members 475,561
Posts 29,294,091