Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,590
- 20,899
In short mawakala kwa kipindi hiki huwa wameajiriwa kwa muda mfupi na vyama vyao kwa posho pengine isiyozidi 20,000, ni wajibu kurudisha ripoti kwa muajiri wao yaani vyama vyao na haiwezi kuwa ni hekima kukataliwa kuondoka na ripoti ambayo ndiyo wametumwa kuisimamia wakashindwa kutekeleza hilo baada ya uchaguzi kuisha na kura kuhesabiwa au zoezi kuisha ni wajibu mawakala hawa wakapatiwa nakala za uthibitisho wa kile walichotumwa na vyama vyao FORM 21A, 21b, na 21C. kwani kutokutolewa kwa form hizi kunaweza kutusababishia vurugu ndani ya taifa letu pendwa na linalotamaniwa na maadui lukuki