Vyama vyote ikiwemo CCM, tupige kelele kupita bila kupingwa, tukiacha kuna siku upinzani wote itaenguliwa na hatutakuwa na nguvu ya kuongea

torosi

JF-Expert Member
Aug 12, 2020
320
1,000
Wapwa

Tume imepitisha wabunge 20 bila kupingwa, kelele zinapigwa lakini binafsi naona hazitoshi. Hii sio kwa upinzani peke ake, kuna siku CCM inatukuja kuwa upinzani, na sidhani kama watashangalia kama wafanyavyo sasa pindi itakapowatokea wao.

Hali ikiendelea hivi huku mbeleni tutegemee makubwa zaidi ya haya

Ni hayo tu

Haki huinua taifa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom